Wapinzani wanachokifanya Kinairudisha Nyuma Tanzania: Acheni siasa za wakina Malcom X

Wanasiasa wote na vyama vyote duniani kote wanafanana.
Chama Tawala, upinzani, vyenye mlengo wa Kati, wa kushoto, kulia au mlengo mkali.

Mleta uzi, tumia mifano ya Wanasiasa hao ni wanaharakati hiyo mifano yote MX na King Luther.

Hata hiyo, sisimu inachofanya ni icho hicho
Hakuna jipya.
 
mimi simo katika siasa ila umenikera hapo ulipogusia kwa Malcolm X.
huwez kuongea pumba kama hvyo, Malcolm X alikuwa na ushawishi mkubwa sana watu na kila leo alikuwa anapata nguvu kwa jamii kutokana na kuwa na ushawishi mkubwa katika hotuba zake na ndio mana alikuwa anapata mialiko katika mataifa mbali mbli ikiwemo Tanzania.
hilo la kuwa na ushawishi kwa watu hilo ndilo lilikuwa likiwaumiza kichwa watu weupe na ndilo lilowapelekea kusuka mauji yake yaliyofanyika mwaka 1965 akiwa ktika hotuba.
 
Waasisi wa harakati kama Malcom X wewe unampinga ni kama umepinga harakati za Stive Biko wa SA na kumkubali Mandela tuu hapo maandishi yako yote yanakua hayapo sahihi...
 
andiko lako nimelielelwa sana lakini hujaweka wazi hizo njoz utazielezea ukiwa wapi maana siasa imekatazwa ila kuna marudio ya uchaguzi na kumbuka wakati mwingine kwa nchi yetu njozi inaweza kuwa uchochezi na kujikuta uko mahakamani...
 
Kuwa na madhumuni ya kuiondoa CCM madarakani ni njozi hafifu isiyo na faida kwa taifa.
Siasa za kujibanza kwenye matatizo na mapungufu ya Serikali au taifa hazina faida kwa Tanzania.

Hii imenipelekea kujifunza tofauti kubwa Kati ya watu weusi wawili maarufu duniani. Wote walikuwa wanapigania kitu kimoja(uhuru wa mtu mweusi) lkn kwa njia tofauti.

1:Malcom X aliamini katika kupigania haki kwa kuwekeza kwenye matatizo yaliyokuwa yanawasibu watu weusi. Muda mwingi alitumia kupinga uonevu, kuhamasisha vurugu pale mtu mweusi anapoonewa, kuhamasisha watu wasiamini haki za mahakama maana ziliwabeba wazungu. Njia hii ilikuwa sahihi lkn hakuwahi kuleta matunda. Watafiti wa mambo ya kisaikolojia waliosema njia hii inatumia sehemu ya chini kabisa ya uwezo wa ubongo wa mwanadamu.

2:Martin Luther King Jr, aliwekeza kwenye Kile wanachotakiwa kukipata watu weusi sio matatizo yanayowasibu. Aliwekeza kwenye njozi za kile kinachotakiwa kuwa bila kujali kitatokea lini. Watafiti wa mambo ya kisaikolojia wanasema alichokifanya Luther ni zoezi la kiubunifu lililojumuisha sehemu zote za Uwezo wa ubongo wa Mwanadamu. Tatizo linaondolewa kwa kuhubiri njozi unavyodhani ni suluhisho la kudumu la tatizo sio kueleza tatizo.

Japo wote wawili waliuwawa lakni ni njozi ya Luther inadumu hadi kesho huku harakati za Malcom X zikibaki kukumbukwa kama harakati tu ambazo matunda yake hayapimiki.

Wapinzani jifunzeni kwa Luther, matatizo hayaondolewi kwa kumsakama anayesadikika kuwa Chanzo cha tatizo, Kulaani Vitendo na mipango unavyodhani sio sahihi na ni kazi nyepesi sana Bali ni kuhubiri Bila kukoma wala kutoka kwenye mstari mna njozi gani na Tanzania ili watanzania wajue hawa watu tangu wamekuwepo wanataka nini.

Kuhubiri matatizo, hakutaisaidia Tanzania lkn Kuhubiri njozi hata Leo vyama vyenu vikifa vizazi vijavyo vitakuwa vinasimamia njozi hizo. Kelele za wapinzani masikioni mwa mtanzania ni matatizo yanayomsibu sio njozi yao kwa mtanzania masikini.
Wewe ni mweusi usiyejitambua kabisaaaaa,kama hiyo tafiti ya watalamu inayokufanya uamini malcomX alikuwa mjinga na Martin Luther alikuwa mjanja na wote wakatolewa roho na huyo aliyefanya tafiti.JITAMBUE.
 
Sawa kabisa. Lakini kumbuka lazima kujua tatizo, kulifafanua na kuwaeleza watu ili wapate kulijua vema. Upinzani unahubiri juu ya uhuru wa habari na demokrasia ya kweli, ambayo wanaamini unapatikana kwa kuzingatia katiba tuliyo nayo, na zaidi kwa kuifumua katiba ya sasa na kutengeneza mpya. Binafsi Sijamsikia kiongozi wa upinzania akiamrisha watu wampige mtu yeyote, bali wanaeleza tatizo lililopo na jinsi ya kutoka kwenye tatizo: Tume huru ya uchaguzi, polisi kutekeleza majukumu kwa weledi sawasawa na maadili yanayoliongoza jeshi la polisi, watendaji wa serikali kuheshimu katiba na sheria mbalimbali za nchi.
 
Wewe ni mweusi usiyejitambua kabisaaaaa,kama hiyo tafiti ya watalamu inayokufanya uamini malcomX alikuwa mjinga na Martin Luther alikuwa mjanja na wote wakatolewa roho na huyo aliyefanya tafiti.JITAMBUE.
maoni namtazamo mzuri. ila hayana kina kwa sababu hayajajielekeza kujibu hoja zilizopo mezani.
 
mimi simo katika siasa ila umenikera hapo ulipogusia kwa Malcolm X.
huwez kuongea pumba kama hvyo, Malcolm X alikuwa na ushawishi mkubwa sana watu na kila leo alikuwa anapata nguvu kwa jamii kutokana na kuwa na ushawishi mkubwa katika hotuba zake na ndio mana alikuwa anapata mialiko katika mataifa mbali mbli ikiwemo Tanzania.
hilo la kuwa na ushawishi kwa watu hilo ndilo lilikuwa likiwaumiza kichwa watu weupe na ndilo lilowapelekea kusuka mauji yake yaliyofanyika mwaka 1965 akiwa ktika hotuba.
hapa naongelea tofauti ya Violent na non violent ways of getting what you want.
Luther anasema mfano CONQUER HATE WITH LOVE.
Huku huyu mdau anasema mtu akikuingilia kwenye haki zako, put him to the cemetery.
matokeo mapana ya muda mrefu, yalionekana kupitia non violent human right struggles.
kosoa kwa hoja, hapa tunangalia upande hasi wa msimamo wa malcom.
tunatanua wigo wa kufikiri nje ya ushabiki
 
Kweli wanairudisha nyuma Tanzania,maana hadi leo viwanda ziiii.Watu wengine bana!
 
hapa naongelea tofauti ya Violent na non violent ways of getting what you want.
Luther anasema mfano CONQUER HATE WITH LOVE.
Huku huyu mdau anasema mtu akikuingilia kwenye haki zako, put him to the cemetery.
matokeo mapana ya muda mrefu, yalionekana kupitia non violent human right struggles.
kosoa kwa hoja, hapa tunangalia upande hasi wa msimamo wa malcom.
tunatanua wigo wa kufikiri nje ya ushabiki

ni hv mkuu... Martin Luther King alikuwa sahihi tatzo michakato yake ilikiwa inakwenda slow.
ila Malcolm X alikuwa sahihi zaid, licha ya kusema kuwa yeye alikuwa anatumia vutugu/nguvu katika kutetea hakia za weusi sababu anapigania haki yake, kumbuka haki haiombwi bali inachukuliwa na ikibidi hata kwa nguvu na ndio mana hata Malcolm X mwenyewe alikwambia "BY ANY MEANS NECESSARY".
Kutokana na njia na kuwa na ufasaha wa kuongea Malcolm X alikuwa na ushawish mkubwa sna kwa watu.
na mwisho wa yote Malcolm X alikuwa tishio zaid kwa wazungu kuliko na Martin Luher King Jr
 
Wana Lumumba eleweni kuwa Tz. ni maskini leo hii sio kwa sababu wananchi ni wa wavivu la hasha, tuko hapa tulipo kutoka na utawala mbovu wa ccm. huu ndio ukweli na tusimtafute mchawi mwingine. ila najua Lumumba kujibizana kwa hoja katu hamuwezi hilo ndio tatizo, nyie ni bla bla.
 
UMEMKOSEA SANA MALCON X, MCHANGO WAKE KTK BLACK KOSHAZNES DUNIAN KOTE UTAHESHMKA DAIMA. NDO MANA WAKAMUUA WALIMUOGOPA SANA YULE WALIJUA
 
UMEMKOSEA SANA MALCON X, MCHANGO WAKE KTK BLACK KOSHAZNES DUNIAN KOTE UTAHESHMKA DAIMA. NDO MANA WAKAMUUA WALIMUOGOPA SANA YULE WALIJUA
wote waliuwawa.
kuwaweka kwenye mizania yangu x anapungua.
mtazamo kinzani na imani yako juu ya mwanadamu flani ni heshima.
 
Wana Lumumba eleweni kuwa Tz. ni maskini leo hii sio kwa sababu wananchi ni wa wavivu la hasha, tuko hapa tulipo kutoka na utawala mbovu wa ccm. huu ndio ukweli na tusimtafute mchawi mwingine. ila najua Lumumba kujibizana kwa hoja katu hamuwezi hilo ndio tatizo, nyie ni bla bla.
hoja ziko kwenye thread hujajadili unataka tujadili nini hicho ambacho hapo hakipo.
naona unaleta kauli na kubehi za miaka ya 1995.
hakuna lumumba au ufipa hapo, kuna hoja,jadili boss
 
Michango ya watu humu inaonyesha kuna Com asili na Cccm Academia
Ccm asili inatetea chama n.a. misingi yake yaani katiba na umoja. Academia ni vuluvulu kila hoja nzuri lazima wahusianishe na mkulu hoja chafu au failer ya chama wanamuondoa mkulu wanataka kutuamisha kuwa mkulu ni wa sayari nyingine wakati alikuwepo n.a. tena mkubwa.Hilo group ni conjugate set n.a. la A kina Nkamia.
Ndilo linasajili hata mamember kutoka upinzani kujiongezea nguvu.
Ccm asili kuwa macho nao haowanao hamia kwani ni wavivu mfano mtu alikuwa ziwani akashindwa kuvua akapewa samaki n.a. mvuvi wa
Ziwa jirani akahamia huko unafikiri atayajali ziwa la hapo kuwa ndiyo mazalia ya samaki yeye atamjali mvuvi aliyempa samaki watasema acha ziwa likauke Huyu mvuvi aliyetupa samaki aongezewe maisha.Hawa wanakuja kuunda timu tu.
 
yaani uendelee kuhubiri njozi zako kwa watu wambao hawakupi mazingira ya kutimiza ndoto izo (wanafanya kila njia kuweka mazingira magumu kukuzuia)

bandiko lako limenikumbusha utopian socialism
(yaani waache kuwakemea mabepari bali wawape ndoto zao ili wajifunze mazuri yao na wabadirike)

kifupi akili yako ni ya utopian
Mkuu nadhani hujanwelewa mtoa mada.
Anachosema ni kwamba,ukosoaji kwa serikali,bila wewe mkosoaji kuwa mbadala wa kile unachodhani ungekifanya kama ungekuwa madarakani kwa niaba ya wananchi.
Kitu hicho hata kisipofanyika leo,lakini vizani vijavyo vikaja kuviona,hapo mchango wako utakuja kuonekana.
Mfano,ni ukweli usiopingika kwamba chadema ilifanikiwa saaana wakati wa sera ya ufisadi,kiasi kwamba mpaka watawala walitikisika.
Lakini hatua za lala salama la kubadilisha mikakati ambayo ilikuwa imeshaasisiwa kwa muda mrefu kwa ajili ya mtu ambaye mlimtuhumu kuwa ndio mkuu wa ufisadi kwa miaka mingi,kwa wenye akili timamu walibaini kosa la ufundi la chadema kwamba lingewagarimu kisiasa,ndiyo tunayoyaona leo.
Kuacha sera ya ufisadi kwenye sahani ya dhahabu na kuwapa ccm hakika lilukuwa kosa la kiufundi.
Kibaya zaidi kuliko vyote utawala mpya ulipoanza kazi ulianzia mule mule kwenye sera za ufisadi,KWA MAAJABU YA WENGI utekelezaji wa sera za upinzani dhidi ya ufisadi, ulibezwa na waasisi wa sera kuwa ni udicteta.
Hilo kwa hakika liliwafanya wenye akili kuwatazama kwa jicho ya pili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom