mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,701
- Thread starter
- #61
Maoni mazuri. cag sio taasisi ya kimarekani ni Bali ni ya serikali kama inagundua maovu ya serikali basi ni busara kupongeza serikali iliyobariki uwepo wake. Matatizo mengine ndio maana serikali ipo na inayashughulikia na huko sio lengo la bandiko, lengo ni nyie mnaowekeza kwenye matatizo Bila kusema your default tanzania and how you will achieve...Una utaahira mkubwa sana wewe! Mfumo upi wa Serikali unafanya kazi wewe!? Unasoma ripoti za CAG, kufuatilia vilio vya wafanya biashara nchini na wananchi kwa ujumla!? Kama mifumo ya Serikali unayoisifia inafanya kazi kwanini mabiashara nchi nzima yaanguke!? Kwanini kuwe na ukosefu mkubwa wa ajira!? Kwanini Watanzania kila kona ya nchi walalamike ugumu wa maisha na kupanda gharama za maisha kwa kasi ya kutisha!?
Acha kutumika wewe ili kuganga njaa zako. Ni hasara kubwa kwa nchi yoyote ile duniani kuwa na raia kama mapunguani kama wewe ambao mko tayari kutumika ili kupindisha ukweli wa hali halisi nchini.