Wild man from the Hills
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,003
- 5,819
Hii ilikuwa ni moja ya lugha Iliyotumika Sana Kipindi Cha Kampeni; Sasa Kutokana Na Kasi Ya 4G Ya Awamu Ya Sita Katika Kuwaletea Wananchi Maendeleo, Nimeona Ni Vyema Tukipata Mrejesho Wa Kile Kinachoendelea Majimboni; Baada Ya Bunge Lote Kuwa La Kijani.
# Maendeleo Hayana Chama Asanteni;
# Maendeleo Hayana Chama Asanteni;