Wapinzani wanachelewesha maendeleo

Wild man from the Hills

JF-Expert Member
Jul 30, 2021
4,001
5,815
Hii ilikuwa ni moja ya lugha Iliyotumika Sana Kipindi Cha Kampeni; Sasa Kutokana Na Kasi Ya 4G Ya Awamu Ya Sita Katika Kuwaletea Wananchi Maendeleo, Nimeona Ni Vyema Tukipata Mrejesho Wa Kile Kinachoendelea Majimboni; Baada Ya Bunge Lote Kuwa La Kijani.

# Maendeleo Hayana Chama Asanteni;
 
Mama kasema kazi iendelee.

Wakati Nape akimkana Jonh, kwa kuanzisha mradi wa kuzalisha umeme wakati mazingira yameharibiwa kwa kukata miti 4,000 plus.
 
Back
Top Bottom