Wapinzani wana hoja za msingi sana tatizo wahariri wa vyombo vya habari hawajielewi

Tatizo letu kubwa kama Taifa ni unafiki;kuanzia Ikulu na wanaoizunguka hadi huku vijijini.

Wahariri nao wametoka kwenye jamii hii hii iliyokumbatia unafiki.

Unafiki ndio umeua uzalendo wa kweli,umepofusha macho ya tuliowakabidhi mamlaka kutuongoza,umeua ari ya kuhoji masuala nyeti ya Taifa letu,umeua ujasiri wa kusimamia hoja za msingi za kitaifa.

Siku tuakapoamua kwa dhati kuukataa unafiki,naamini ndio tutakapo anza kusogea kiuchumi na kwa nyanja zote.

Tuukatae unafiki kwanza
 
Wako busy kumpamba bwana fulani badala ya kuwapa nafasi wanaosema ukweli.
 
Na wewe ni mnafiki sana, wanampamba bwana fulani gani wakati mwezi mzima na nusu magazeti yalikuwa yanampamba Lissu tu!! Kutwa kucha, mara ooh, leo kala, mara ooh, anapasaua bomu,Mara ooh Mange sijui atafyatua bombshell kesho, sasa hizo ni Habari za watu gani hao?
 
Kuna nguvu kubwa ya kuzuia vyombo vya habar na wamiliki wake mkuu. Haya mambo yataka sacrifice za maana kweli.
 
Na wewe ni mnafiki sana, wanampamba bwana fulani gani wakati mwezi mzima na nusu magazeti yalikuwa yanampamba Lissu tu!! Kutwa kucha, mara ooh, leo kala, mara ooh, anapasaua bomu,Mara ooh Mange sijui atafyatua bombshell kesho, sasa hizo ni Habari za watu gani hao?
Wachaneee
 
umeshau na hizi, mara kala ndizi na kande , ooh kaasema mambo ha ha ha
 
Yakiruhusiwa kuandika wapendavyo wanaanza kumtukana aliewaruhusu kuwa Mara Bwege Mara Dhaifu Acha tu Kama Noma na iwe Noma
 
Wakuu nawaomba sana tunapopambana na ccm basi ni lazima tupambane na kila anayewaunga mkono, wakiwemo wahariri mamluki , ukitaka kuelewa nguvu tuliyonayo angalia mauzo ya magazeti ya propaganda , Uhuru , Mzalendo , Daily news , halafu igeukie TBC kuanzia redio hadi Tv
IPP Media nao wajiandae maana siku hizi wanapoteza muelekeo.
 
Chadema wamepoteza dira. Sasa hivi wamebaki kinye mipasho na kutulana watu. Chadema hawana dira.
 
Wakuu nawaomba sana tunapopambana na ccm basi ni lazima tupambane na kila anayewaunga mkono, wakiwemo wahariri mamluki , ukitaka kuelewa nguvu tuliyonayo angalia mauzo ya magazeti ya propaganda , Uhuru , Mzalendo , Daily news , halafu igeukie TBC kuanzia redio hadi Tv
Ni kweli mkuu...,

Tena hili la magazeti na CCM linatakiwa liwe na uzi wake pekee..

Ni wakati mwafaka sasa kuanza kupambana na CCM na VIBARAKA wake vita kali ya kiuchumi..
Kwanza lazima kufanya kampeni ya kususia KUNUNUA, KUVITAJA, vijigazeti vyao, UHURU TANZANITE na mengine yanayo support udikteta na CCM...
 
CHADEMA WAMEPOTEZA DIRA. SASA HIVI WAMEBAKI KINYE MIPASHO NA KUTULANA WATU. CHADEMA HAWANA DIRA.
Kama wamepoteza dira.., kwa nini Baba yako amepiga marufuku mikutano ya kisiasa...?!

Kama wamekosa dira, kwa nini hata wakitoa hoja za kisiasa mnawajibu kupitia kitengo chenu Polisisiem..?!

Kama wamekosa dira, mbona mmefuta Bunge live..?!

Kama wamekosa dira kwa nini mnawajibu hoja zao za kisiasa kwa SMG...?!

Annael..., acha kufikiri kwa kutumia makalio...
 
Ni kweli mkuu...,

Tena hili la magazeti na CCM linatakiwa liwe na uzi wake pekee..

Ni wakati mwafaka sasa kuanza kupambana na CCM na VIBARAKA wake vita kali ya kiuchumi..
Kwanza lazima kufanya kampeni ya kususia KUNUNUA, KUVITAJA, vijigazeti vyao, UHURU TANZANITE na mengine yanayo support udikteta na CCM...
Nyie ni wadogo sana tumeshawapotezea. Hivi huoni hata thread za hapa JF ni nyie kwa nyie tu mnajijibu.!!! Tanzania is more than you think. Nyie ni kama washehereshaji tu. Hamna impact yoyote. CCM = Tanzania. Ni watu wenye uelewa duni tu wasio lijua hilo CHADEMA inajufa yenyewe. ndani kwa ndani. Mtu mwenye kuiua CCM ni mwana CCM pekee. Ukiwa nje ya CCM sahau, utabaki kupiga makelele tu. Ukitoka ndani ya CCM ni kama samaki akiondolewa kwenye maji atarukaruka kwa muda mfupi tu.
 
Na wewe ni mnafiki sana, wanampamba bwana fulani gani wakati mwezi mzima na nusu magazeti yalikuwa yanampamba Lissu tu!! Kutwa kucha, mara ooh, leo kala, mara ooh, anapasaua bomu,Mara ooh Mange sijui atafyatua bombshell kesho, sasa hizo ni Habari za watu gani hao?
Fikra hizi ndizo zinaua taifa hili kwa spidi ya mwendokasi!, Lissu amepambwaje? Kuna kundi la wachumia tumbo wamejivika kuwa wachepushaji wa hoja zenye kulisaidia taifa. Hapa kuna mambo mawili: Hoja ya vyombo vya habari kujielewa na kubeba ajenda za kulisaidia taifa (mfano ni hicho kilichozungumzwa na Zitto) kwa upande mmoja, na vyombo hivyo kuchukua nafasi kubwa kumpamba Rais kuwa amefanya mambo makubwa katika miaka miwili (bila kuwa na critical analysis), mambo ambayo hayamsaidii Rais wala nchi yenyewe. watu kama nyie ndio hasa mlistahili kupimwa mikojo badala ya akina Gwajima!
 
Back
Top Bottom