Wapinzani wana hoja za msingi sana tatizo wahariri wa vyombo vya habari hawajielewi

Wakati utafika hatutaangalia sura ya mtu .
Who are!? Unadhani TZ ni kwa maslahi yenu tu!? Watanzania tunahitaji mahitaji muhimu. Siyo kelele zenu za ovyo ovyo ambazo hazina direction. Mara huyu fisadi mara mzuri, eti siasa ni watu.
Huu ni upuizi sana. Siasa ni itikadi ni kuamini na kuwa na idiology. Siyo kuwa kigeu geu. Mmepoteza credibility na lengo lenu sasa ni kutaka kuvuruga watu.
 
Fikra hizi ndizo zinaua taifa hili kwa spidi ya mwendokasi!, Lissu amepambwaje? Kuna kundi la wachumia tumbo wamejivika kuwa wachepushaji wa hoja zenye kulisaidia taifa. Hapa kuna mambo mawili: Hoja ya vyombo vya habari kujielewa na kubeba ajenda za kulisaidia taifa (mfano ni hicho kilichozungumzwa na Zitto) kwa upande mmoja, na vyombo hivyo kuchukua nafasi kubwa kumpamba Rais kuwa amefanya mambo makubwa katika miaka miwili (bila kuwa na critical analysis), mambo ambayo hayamsaidii Rais wala nchi yenyewe. watu kama nyie ndio hasa mlistahili kupimwa mikojo badala ya akina Gwajima!
Kutukanna ovyo ovyo, ndio kusaidia nchi? Staarabu ndio moja ya misingi ya ustaarabu.
 
Kwa hiyo Zitto kawaambia na Kokoto zinatoka Uturuki?Pia atueleze kiwanda cha uzalishaji wa chuma kinafanya kazi kwa asilimia ngapi?Je kina uwezo wa ku supply chuma inayohitajika kwa asilimia 100 au ni kutafta kick tu kwa kila kitu nawe mtoa mada unabeba na kusema hii ni hoja?
 
Chadema wamepoteza dira. Sasa hivi wamebaki kinye mipasho na kutulana watu. Chadema hawana dira.
Kama kweli wamepoteza dira nadhani ni wakati muafaka sasa wa kuwaachia wafanye siasa kwa uhuru bila kukamatwa wala kuzuiliwa na polisi.
 
Nyie ni wadogo sana tumeshawapotezea. Hivi huoni hata thread za hapa JF ni nyie kwa nyie tu mnajijibu.!!! Tanzania is more than you think. Nyie ni kama washehereshaji tu. Hamna impact yoyote. CCM = Tanzania. Ni watu wenye uelewa duni tu wasio lijua hilo CHADEMA inajufa yenyewe. ndani kwa ndani. Mtu mwenye kuiua CCM ni mwana CCM pekee. Ukiwa nje ya CCM sahau, utabaki kupiga makelele tu. Ukitoka ndani ya CCM ni kama samaki akiondolewa kwenye maji atarukaruka kwa muda mfupi tu.
Wewe huna hoja, una njaa kali na chuki za kitoto tuu..

CHADEMA ina wananchi tuu wanayo i support.., na wala hawalipwi na chama.., wanajitolea..!

CCM mmebebwa na...,

1. SERIKALI...(RCs, DCs, DEDs,)
2. POLISI
3. TISS...
4. MAHAKAMA..
5. TAKUKURU..
6. JWTZ..
7. TUME YA UCHAGUZI..
Bila hivi ..., nyie mlishakufa siku nyingi...
 
Fikra hizi ndizo zinaua taifa hili kwa spidi ya mwendokasi!, Lissu amepambwaje? Kuna kundi la wachumia tumbo wamejivika kuwa wachepushaji wa hoja zenye kulisaidia taifa. Hapa kuna mambo mawili: Hoja ya vyombo vya habari kujielewa na kubeba ajenda za kulisaidia taifa (mfano ni hicho kilichozungumzwa na Zitto) kwa upande mmoja, na vyombo hivyo kuchukua nafasi kubwa kumpamba Rais kuwa amefanya mambo makubwa katika miaka miwili (bila kuwa na critical analysis), mambo ambayo hayamsaidii Rais wala nchi yenyewe. watu kama nyie ndio hasa mlistahili kupimwa mikojo badala ya akina Gwajima!
Apimwe mama yako kwanza huo mkojo! Shwaini we!
 
Kama kweli wamepoteza dira nadhani ni wakati muafaka sasa wa kuwaachia wafanye siasa kwa uhuru bila kukamatwa wala kuzuiliwa na polisi.
Nani kawazuia kufanya siasa? Mbona nawaona kwenye makampeni maeneo yenye uchaguzi wa marudio!! We vipi?
 
Wewe huna hoja, una njaa kali na chuki za kitoto tuu..

CHADEMA ina wananchi tuu wanayo i support.., na wala hawalipwi na chama.., wanajitolea..!

CCM mmebebwa na...,

1. SERIKALI...(RCs, DCs, DEDs,)
2. POLISI
3. TISS...
4. MAHAKAMA..
5. TAKUKURU..
6. JWTZ..
7. TUME YA UCHAGUZI..
Bila hivi ..., nyie mlishakufa siku nyingi...
Hata nyie mkibahatika kutawala mtawatumia hao hao katika kuendesha nchi, ucha ujuha.
 
Wakuu nawaomba sana tunapopambana na ccm basi ni lazima tupambane na kila anayewaunga mkono, wakiwemo wahariri mamluki , ukitaka kuelewa nguvu tuliyonayo angalia mauzo ya magazeti ya propaganda , Uhuru , Mzalendo , Daily news , halafu igeukie TBC kuanzia redio hadi Tv
 
Hata nyie mkibahatika kutawala mtawatumia hao hao katika kuendesha nchi, ucha ujuha.
Hii ndio hoja ya MPUMBAVU..., sipiganii mabadiliko ya KATIBA MPYA ili CHADEMA waje kutenda kama CCM wee kijana..

Hakutakua na maana yoyote ya kuitoa CCM madarakani, kama, eti sisi CHADEMA tunataka kuchukua uongozi wa nchi ili tuje TUINAJISI nchi kama CCM wanavyofanya...

THIS IS RUBBISH...!
 
Wewe huna hoja, una njaa kali na chuki za kitoto tuu..

CHADEMA ina wananchi tuu wanayo i support.., na wala hawalipwi na chama.., wanajitolea..!

CCM mmebebwa na...,

1. SERIKALI...(RCs, DCs, DEDs,)
2. POLISI
3. TISS...
4. MAHAKAMA..
5. TAKUKURU..
6. JWTZ..
7. TUME YA UCHAGUZI..
Bila hivi ..., nyie mlishakufa siku nyingi...
Sasa kama unajua hilo kwanini upoteze muda mushabikia kitu ambacho hakina support na vyombo vya usalama?
Nadhani hujui unaloongea. Kama haupo upande wa vyombo vya usalama automatic wewe ni muasi.
 
Wakuu nawaomba sana tunapopambana na ccm basi ni lazima tupambane na kila anayewaunga mkono, wakiwemo wahariri mamluki , ukitaka kuelewa nguvu tuliyonayo angalia mauzo ya magazeti ya propaganda , Uhuru , Mzalendo , Daily news , halafu igeukie TBC kuanzia redio hadi Tv
Hili liko wazi na wao wanalijua vizuri, imefika kipindi mtu akiwa na Gazeti la Uhuru halitoi hadharani. Ni magazeti yanayosomwa kwa kificho.
 
Na wewe ni mnafiki sana, wanampamba bwana fulani gani wakati mwezi mzima na nusu magazeti yalikuwa yanampamba Lissu tu!! Kutwa kucha, mara ooh, leo kala, mara ooh, anapasaua bomu,Mara ooh Mange sijui atafyatua bombshell kesho, sasa hizo ni Habari za watu gani hao?
nimekugongea "like"
 
LISU THE GREATEST..... Hadi risasi zimedunda....Nafurahi maana Mifisiem ikiskia jina LISU inaskia kujinyea...
 
Back
Top Bottom