wapinzani wamepoteza focus.

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,061
3,684
Habari za pilika waungwana!

Mimi mpaka sasa nimeshakata taa na hichi kizazi cha wapizani wa kisiasa tulionao kwasababu zifuatazo.

Wameacha kuratibu maandamano ya kudai katiba mpya ambayo ndio msingi wa demokrasia wanaohitaji,leo wanatuchanganya na operation ambazo hazina tija kwa wananchi,mara UKUTA,kesho KATA FUNUA,infact hawaeleweki.

Nataka nimuhakikishie Mbowe,"and my brother take from me'' hata ufanye operation million tukiendelea kuwa chini ya katiba hii,ambayo sawa Sawa na ilani ya chama cha Mapinduzi,kuingia Ikulu sahau.
Leo mmenyamazishwa kama watoto wa shule,kwa sababu ya mandate jamaa anayoitumia kutoka katika katiba.
Tunahitaji stragling ya jinsi ya kuipata katiba mpya kwa njia yeyote kabla ya 2020,kwasababu tukiingia kwenye uchaguzi na katiba hii wapinzani ikulu msahau hata watanzania wote wawape kura.
Leo Godbless Lema anasweta baabusi kwasababu ya kesi za kitoto, but angekuwa kwenye harakati za kudai katiba watanzania tungeguswa hata mngetushawishi tungeandama haki itendeke.Hivi mpinzani kweli unasweta rumande kisa sms na kauli za kitoto za kusema rahisi utakufa au kumuita mkuu wa mkoa shogga, nonsense.
 
Upo sahiii. Ila umuhimu ya wapinzani sio kushika nchi pekeake. Ni kututetea wanyonge.
 
Back
Top Bottom