untimwenge
Member
- Apr 27, 2020
- 55
- 105
Katika kipindi hiki cha miaka mitano kumekuwa na ongezeko la viongozi wa upinzani waliotimka kwenda kwenye chama tawala na wakalamba nafasi nyeti za uteuzi kwenye nafasi kadhaa kwenye serikali.
Je, hili ni kuonyesha kuwa wapinzani wanawaandaa viongozi bora kuliko chama tawala tena chenye hadi chuo cha kuandaa viongozi? Natoa mifano michache ya viongozi machachari na wapiga kazi hodari serikali waliotoka upande wa pili:-
1. Dr Slaa
2. Mh Juliana Shonza
3. Mh. Patrobas Katambi
4. Mh. Anna Mgwira.
5. Mh. Waitara.
6. Mh. Kafulila
7. Professor Kitila Mkumbo
8. Dr. Mollel.
9. Mh. Mtatiro
10. Wabunge wote waliojiuzulu upinzani walichaguliwa kupitia chama tawala
11.
12.
13.
N.k
Je, bado Kuna vichwa ambavyo vingeshirikishwa kwenye utendaji waliopo upinzani wangefanya kazi nzuri zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app