Wapinzani wamekimbia aibu ya kushindwa uchaguzi s/mtaa

Mimi nafikiri si kwamba wamekimbia uchaguzi na wanaogopa kushindwa.... Katika uchaguzi wowote duniani haiwezekani uje na uamuzi wa kusema mtashinda kwa kishindo.... Ukishakuja na option hiyo maana yake unayo matokeo mkononi na unajua nini kinaenda kutokea.....

Nafikiri kuna haja ya kutafuta suluhu na ukweli kuhusu siasa na muelekeo mzima huo...

Tume huru
 
Hapa ndio naonaga vyama vya upinzani ni vyakupigia dili tu. Sasa kuna sababu gani ya kukimbia uchaguzi ambayo utamweleza mgombea wa chama chako akakuelewa l baada ya kuwekeza kwa muda miaka yote hiyo.

Jamani viongozi wa vyama vya upinzani ebu weken huruma mbele kwanza wafikilieni na hawa wa ngazi ya chini na wao wamewekeza muda na fedha zao kwenye hizo chaguzi.View attachment 1262803

Kwanza tu chanzo cha habari yenyewe ni JAMVI.....la Habari.
Kuna msemo mmoja maarufu kwa wanawake MALAYA ambao kila mwanamme anamtaka....hao huitwa ni JAMVI LA WAGENI....yaani MALAYA MALAYA TU.Bila shaka waandishi wa Gazeti hili la JAMVI LA HABARI hawana tofauti na wanawake wanaoitwa Jamvi la Wageni.

Baada ya kusema hayo nimgeukie huyu kichaa na mwendawazimu ambaye anaweza kuwa SUMU mbaya sana kwa Taifa letu kiasi cha kuchochea na kuja kusababisha vita vya kimbari huko mbele...!!!
Polepole ni kichaa na bila shaka IQ yake iko chini sana na mtu mwenye kupenda ''Cheap Politics'' kwa kutumia mipasho ya mitaani ambayo haijengi baali inazidi kubomoa na kuvunja misingi ya AMANI, UPENDO na MSHIKAMANO wa WATZ..
Tangia mwanzo wa kuanza mchakato wa Uchaguzi wa SM-2019, Polepole amekuwa akitofautiana sana na Waziri mwenye dhamana (SM) Bwana Selemani Jafo...!!Baada ya Jafo kuona mambo yanawaharibikia kwa Upinzani kujitoa Jafo alianza kuongea kauli zenye utata zenye kutaka mwafaka ili kuwarudisha wapinzani kwenye Uchaguzi lakini Polepole aliendelea kuwanananga na kudharsu Upinzani huku akitamba na kujisifu kuwa CCM tayari ilikuwa imeshinda kwa asilimia 90% kwa kutumia hiyo HILA na UDANGANYIFU kuwaengua Wapinzani....!!!

Poleple bila ya HAYA wala AIBU anaendelea kuropoka kuwa ati...''Wapinzani wamekimbia aibu ya Kushindwa''...!!!Huo ni uongo wa mchana kweupe. Polepole angeeleweka kama angelisema hivi: CCM WAMEAMUA KUVURUGA UCHAGUZI KWA KUOGOPA AIBU YA KUSHINDWA NA WAPINZANI!
Kama Polepole hatadhibitiwa na CCM yake na TISS kwa kauli zake hizi za kihunihuni hakika kuna siku atasababisha machafuko na majanga mabaya sana kwa Taifa hili ambayo pengine yanaweza kuyapiku hata yale ya Kimbari ya Rwanda.
 
U
Mliandaa mazingira ya ushindi kwa mikakati hii:-

1. Kufunga ofisi za uchaguzi ili wagombea wengine wasiweze kurudisha fomu kwa muda unaotakiwa na hatimae kuvyunja masharti ya ugombea.

2. Kuweka vikwazo kwenye fomu za wagombea ili kukosa sifa za kugombea kwenye uchaguzi.

3. Kuwaengua wagombea kwa sababu mbalimbali.

Umesahau matumizi ya Polisi ku harass watia nia ya kugombea na viongozi wa upinzani kwa kuwa sweka rumande na kusakwa.
Matumizi ya mamlaka za rufaa kuondoa wa rufani.
 
Kwanza tu chanzo cha habari yenyewe ni JAMVI.....la Habari.
Kuna msemo mmoja maarufu kwa wanawake MALAYA ambao kila mwanamme anamtaka....hao huitwa ni JAMVI LA WAGENI....yaani MALAYA MALAYA TU.Bila shaka waandishi wa Gazeti hili la JAMVI LA HABARI hawana tofauti na wanawake wanaoitwa Jamvi la Wageni.

Baada ya kusema hayo nimgeukie huyu kichaa na mwendawazimu ambaye anaweza kuwa SUMU mbaya sana kwa Taifa letu kiasi cha kuchochea na kuja kusababisha vita vya kimbari huko mbele...!!!
Polepole ni kichaa na bila shaka IQ yake iko chini sana na mtu mwenye kupenda ''Cheap Politics'' kwa kutumia mipasho ya mitaani ambayo haijengi baali inazidi kubomoa na kuvunja misingi ya AMANI, UPENDO na MSHIKAMANO wa WATZ..
Tangia mwanzo wa kuanza mchakato wa Uchaguzi wa SM-2019, Polepole amekuwa akitofautiana sana na Waziri mwenye dhamana (SM) Bwana Selemani Jafo...!!Baada ya Jafo kuona mambo yanawaharibikia kwa Upinzani kujitoa Jafo alianza kuongea kauli zenye utata zenye kutaka mwafaka ili kuwarudisha wapinzani kwenye Uchaguzi lakini Polepole aliendelea kuwanananga na kudharsu Upinzani huku akitamba na kujisifu kuwa CCM tayari ilikuwa imeshinda kwa asilimia 90% kwa kutumia hiyo HILA na UDANGANYIFU kuwaengua Wapinzani....!!!

Poleple bila ya HAYA wala AIBU anaendelea kuropoka kuwa ati...''Wapinzani wamekimbia aibu ya Kushindwa''...!!!Huo ni uongo wa mchana kweupe. Polepole angeeleweka kama angelisema hivi: CCM WAMEAMUA KUVURUGA UCHAGUZI KWA KUOGOPA AIBU YA KUSHINDWA NA WAPINZANI!
Kama Polepole hatadhibitiwa na CCM yake na TISS kwa kauli zake hizi za kihunihuni hakika kuna siku atasababisha machafuko na majanga mabaya sana kwa Taifa hili ambayo pengine yanaweza kuyapiku hata yale ya Kimbari ya Rwanda.
lakini hili la baadhi ya wagombea wa nafasi za s/mitaa kutolidhia kwa vyama vyao kujitoa unalionaje? au na wao wamenunuliwa
 
Attachments

  • act.jpg
    act.jpg
    43.8 KB · Views: 1
Asilimia 96 ya wapinzani waliochukua form majina yao yalikatwa eti yana makosa mbalimbali. Lakini asilimia 100 ya wagombea kupitia CCM form zao zilipita moja kwa moja. Hapo unajiuliza, hivi CCM nchi nzima wagombea wana Phd hata wasikosee?, mleta mada tumia hata asilimia 1 ya ubongo wako uone kama ni haki
 
Hizo asilimia ulizo taja hapo una uwakika nazo? ndugu rejea zile takwimu alizosoma waziri Jafo kwenye press yake dodoma then angalau uwe na details za kuja kuchangia mada
 
Back
Top Bottom