Wapinzani wajivunze wapi Demokrasia ya kutofanya mikutano ya nje?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
14,620
2,000
Tofauti na Tanzania nchi gani nyingine duniani ambazo zinajiita za kidemokrasia ambapo vyama vya siasa vya upinzani kikatiba na kisheria vinatakiwa kufanya mikutano ya ndani tu baada ya kipindi cha uchaguzi kupita?

Vyama vya upinzani vikijufunza na kupata uzoefu huko katika nchi hizo vitapata mbinu mbadala za kuendelea kueneza sera zao kwa watu wa nje wasio wanachama kipindi kisicho cha uchaguzi na hivyo kuendelea kuongeza wanachama.

Kwa mustakabali mwema wa demokrasia ni muhimu sana vyama vya upinzani kuendelea kuwa na jukwaa la kuwafikia watu walio nje ya vyama vyao hata baada ya uchaguzi ili weweze kushindana vyema na chama tawala
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom