Wapinzani wafungua kesi ya dharula kwenye mahakama ya Africa Mashariki kusimamisha uandikishaji wapiga kura

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,555
217,837
FB_IMG_1560984131969.jpg

Hii ni baada ya kustukia mchezo wa Tume ya Uchaguzi kutoa wiki moja tu kwa mikoa ya Arusha na Kilimanjaro kuandikisha wapiga kura kwa lengo kuacha baadhi ya wapiga kura ili kuiokoa ccm

Ikumbukwe kwamba mikoa hii ndiko ccm inakoangukia pua mara kwa mara
 
View attachment 1132123

Mwingine angeweza kusema kama hivyo ndivyo, si ndio itakuwa nafuu kwa wapinzani?

Mimi nina "Brainstorm" tu hapa. Kama sehemu hizo ni nguzo kuu za upinzani, yaani wapiga kura wa huko wanajitambua vilivyo, wiki mbili zitawatosha kabisa kujiandikisha na kuwabana wasiokuwa na mwamko, wale wa CCM!

Au hapa kuna jambo limejificha tusilolifahamu?

Pamoja na yote hayo, hakuna mbadala wa kuwahimiza, na kuwamotisha wanachama wenu na mashabiki na kuwafikishia elimu mhimu na sababu ya kuikataa CCM.

Mimi mchango wangu kwenu, kuhusu hiyo elimu ya kuwafikishia wananchi kwa ujumla wake ni huu:
Waambieni wananchi, miaka mitano hii inayopita, kila mmoja wetu ameshuhudia mengi yasiyopendeza yaliyofanywa na viongozi wa CCM katika ngazi zote na hasa hasa huko juu. Waambieni Bunge lenye wabunge wengi wa CCM lilivyofanya kazi, lilivyowanyanyasa, kana kwamba nyinyi sio waTanzania.

Waambieni wananchi hawa: Kuna sababu gani nzuri tena za kuweka Bunge lililojaa wabunge wa CCM katika miaka mitano ijayo? Waambieni wananchi hao, wanataka tena kuwe na Chama kimoja cha siasa Tanzania, maana hiyo itakuwa ni bora zaidi kuliko kuwa na wabunge wachache wa upinzaniBungeni wanaonyanyaswa kila mara.

Halafu waelezeni kwa ufasaha sera zenu ni zipi mnazotarajia kuzisimamia miaka mitano ijayo.

Ninaamini wananchi watawasikiliza, na hata kuwapa kura ili mchukue uongozi wa nchi. Kama si hivyo, itakuwa ni bora pia kuingia Bungeni mkijua mnao wabunge wa kutosha kutochezewa tena na visichana visivyokuwa na adbu na utu.
 
Chadema wanapoteza tu muda.Hawapati kitu hiyo mikoa .Hakuna mbunge atarudi bungeni 2020 kutoka Upinzani.Lowasa factor imechangia hilo
 
Na kwanini Mahakama Kuu na si mahakama ya Africa mashariki?
Hiyo mahakama ya Afrika mashariki imo kwenye katiba ya Tanzania? Kama haimo ndani ya katiba yetu hata maamuzi yake yakitolewa Ni hiari ya nchi kuyafanyia kazi au kuyapuuza.
 
Ni kweli utarudi wewe bungeni, Naunga mkono upumbavu wako
Chadema wanapoteza tu muda.Hawapati kitu hiyo mikoa .Hakuna mbunge atarudi bungeni 2020 kutoka Upinzani.Lowasa factor imechangia hilo
 
Mkichelewesha uchaguzi Rais aliyepo madarakani ataendelea kutawala hadi mtakapo maliza case hahahahahah
 
Mwingine angeweza kusema kama hivyo ndivyo, si ndio itakuwa nafuu kwa wapinzani?

Mimi nina "Brainstorm" tu hapa. Kama sehemu hizo ni nguzo kuu za upinzani, yaani wapiga kura wa huko wanajitambua vilivyo, wiki mbili zitawatosha kabisa kujiandikisha na kuwabana wasiokuwa na mwamko, wale wa CCM!

Au hapa kuna jambo limejificha tusilolifahamu?

Pamoja na yote hayo, hakuna mbadala wa kuwahimiza, na kuwamotisha wanachama wenu na mashabiki na kuwafikishia elimu mhimu na sababu ya kuikataa CCM.

Mimi mchango wangu kwenu, kuhusu hiyo elimu ya kuwafikishia wananchi kwa ujumla wake ni huu:
Waambieni wananchi, miaka mitano hii inayopita, kila mmoja wetu ameshuhudia mengi yasiyopendeza yaliyofanywa na viongozi wa CCM katika ngazi zote na hasa hasa huko juu. Waambieni Bunge lenye wabunge wengi wa CCM lilivyofanya kazi, lilivyowanyanyasa, kana kwamba nyinyi sio waTanzania.

Waambieni wananchi hawa: Kuna sababu gani nzuri tena za kuweka Bunge lililojaa wabunge wa CCM katika miaka mitano ijayo? Waambieni wananchi hao, wanataka tena kuwe na Chama kimoja cha siasa Tanzania, maana hiyo itakuwa ni bora zaidi kuliko kuwa na wabunge wachache wa upinzaniBungeni wanaonyanyaswa kila mara.

Halafu waelezeni kwa ufasaha sera zenu ni zipi mnazotarajia kuzisimamia miaka mitano ijayo.

Ninaamini wananchi watawasikiliza, na hata kuwapa kura ili mchukue uongozi wa nchi. Kama si hivyo, itakuwa ni bora pia kuingia Bungeni mkijua mnao wabunge wa kutosha kutochezewa tena na visichana visivyokuwa na adbu na utu.

Ni wakina nani wenye jeuri ya kuwapa elimu hio hao wananchi wao?
Hebu wajaribu kutoa pua zao nje waone
Walishaambiwa kuwa “Mimi Sijaribiwi”
 
Kalamu 1 nakubaliana nawe 100%
 
wakati huu ambao siasa za majukwaa zimekanyagwa si rahisi kuyatekeleza mapendekezo yako
 
Back
Top Bottom