Wapinzani wa serikali, naomba muwe na tahadhari juu ya nafsi zenu plz...

PROPHET POLY

PROPHET POLY

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Messages
470
Points
195
Age
7
PROPHET POLY

PROPHET POLY

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2012
470 195
Napenda kutoa taadhari juu ya upinzani wenu serikalini kwani MUNGU MUUMBA WETU,amenionesha juu ya njia chafu zilizopangwa kutumika juu yenu wote..kwani wako tayari kupoteza uhai wa wapinzani wao ili mradi mambo yao yaende mbele.TAHADHARI: MTAPOTEZA WAPENDWA WENU KWA VIFO VYA UTATA ILI MRADI WAWAVUNJE MOYO.
MSIKATE TAMAA KWANI HAKUNA UHURU PASIPOKUMWAGA DAMU,SO MSIHOFU.
My take:-
IMANI HUKAA NDANI YA MTU(WEKENI UPINZANI WENU ROHONI )
NAJUA MUNGU ATANIAMBIA JAMBO LINGINE JUU YA HAYO.
 
KXY

KXY

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Messages
877
Points
250
KXY

KXY

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2011
877 250

replace M, N andWA with TU
au unabii haukuhusu??
 
UPIU

UPIU

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2012
Messages
602
Points
0
UPIU

UPIU

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2012
602 0
Napenda kutoa taadhari
juu ya upinzani wenu serikalini kwani MUNGU MUUMBA WETU,amenionesha juu
ya njia chafu zilizopangwa kutumika juu yenu wote..kwani wako tayari
kupoteza uhai wa wapinzani wao ili mradi mambo yao yaende
mbele.TAHADHARI: MTAPOTEZA WAPENDWA WENU KWA VIFO VYA UTATA ILI MRADI
WAWAVUNJE MOYO.
MSIKATE TAMAA KWANI HAKUNA UHURU PASIPOKUMWAGA DAMU,SO MSIHOFU.
My take:-
IMANI HUKAA NDANI YA MTU(WEKENI UPINZANI WENU ROHONI )
NAJUA MUNGU ATANIAMBIA JAMBO LINGINE JUU YA HAYO.
Hii ndio athari za kula kulala kwa shemeji
 
PROPHET POLY

PROPHET POLY

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Messages
470
Points
195
Age
7
PROPHET POLY

PROPHET POLY

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2012
470 195
replace m, n andwa with tu
au unabii haukuhusu??
god is not a human being to be corrected by you.what is said by god is complete.i know some of you would even like to correct god's holly books but 'have you done 50% of what is inquired from you?nb: I alert what i am told by the almight god.
 
KXY

KXY

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Messages
877
Points
250
KXY

KXY

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2011
877 250
god is not a human being to be corrected by you.what is said by god is complete.i know some of you would even like to correct god's holly books but 'have you done 50% of what is inquired from you?nb: I alert what i am told by the almight god.
Are these God's words or yours??

Napenda kutoa taadhari juu ya upinzani wenu serikalini kwani MUNGU MUUMBA WETU,amenionesha juu ya njia chafu zilizopangwa kutumika juu yenu wote.
when you say 'upinzani wenu' that excludes you, aren't we all going to benefit?

By the way its capital G unless you are talking about other gods
 
kiwatengu

kiwatengu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
14,941
Points
2,000
kiwatengu

kiwatengu

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
14,941 2,000
nabii pasipo unabii!! itakula kwako
 
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Messages
13,992
Points
2,000
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2012
13,992 2,000
hii ndio athari za kula kulala kwa shemeji

sawa sawa,hawa ni wale wazee wa kuambiwa shemeji funua pale ule,funua meza ile ule..,

wapenda pendaa dezo hawa,kodi za nyumba hawajui kulipia,wanapenda vitu vya chee,,mwishowe huwa yanakuja kuwashinda
 
PROPHET POLY

PROPHET POLY

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Messages
470
Points
195
Age
7
PROPHET POLY

PROPHET POLY

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2012
470 195
Are these God's words or yours??when you say 'upinzani wenu' that excludes you, aren't we all going to benefit?

By the way its capital G unless you are talking about other gods
THANKX FOR CORRECTION ABOUT THE CAPITAL ANd SMALL LETTERS, BUT THE PROBLEM IS WITH MY PHONE I THINK BECAUSE I EVER WRITE IN CAPITALS BUT THEY CHANGE TO SMALL, I DO NOT KNOW WHY?
2.HAVE YOU EVER TAUGHT BEEN A TEACHER?WHAT DO YOU SAY WHEN INSTRUCTING A MESSAGE TO PUPILS,STUDENTS?
 
KXY

KXY

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Messages
877
Points
250
KXY

KXY

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2011
877 250
2.HAVE YOU EVER TAUGHT BEEN A TEACHER?WHAT DO YOU SAY WHEN INSTRUCTING A MESSAGE TO PUPILS,STUDENTS?
I was just replying your comment

god is not a human being to be corrected by you.what is said by god is complete.i know some of you would even like to correct god's holly books but 'have you done 50% of what is inquired from you?nb: I alert what i am told by the almight god.
I hope we are on the same page now teacher
 
PROPHET POLY

PROPHET POLY

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Messages
470
Points
195
Age
7
PROPHET POLY

PROPHET POLY

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2012
470 195
sawa sawa,hawa ni wale wazee wa kuambiwa shemeji funua pale ule,funua meza ile ule..,

wapenda pendaa dezo hawa,kodi za nyumba hawajui kulipia,wanapenda vitu vya chee,,mwishowe huwa yanakuja kuwashinda
1.Ninafanyakazi kam mwajiriwa.
2.Nimeoa
3.Nampenda Mungu na wewe pia
4.Sitoshindwa kamwe
5.Nakula na kulala kwa pesa ya jasho langu
6.Nasomesha wanangu kwa jasho langu
WEWE JE?DON'T THINK EVERYONE IS CHEAP.
 
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Messages
13,992
Points
2,000
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2012
13,992 2,000
1.ninafanyakazi kam mwajiriwa.
2.nimeoa
3.nampenda mungu na wewe pia
4.sitoshindwa kamwe
5.nakula na kulala kwa pesa ya jasho langu
6.nasomesha wanangu kwa jasho langu
wewe je?don't think everyone is cheap.

ubarikiwe sana
 
Nyakageni

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Messages
14,478
Points
2,000
Nyakageni

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2011
14,478 2,000
Ahsante sana kwa tahadhari! Ila angekwambia na mwisho wa udhalimu ingekuwa vyema. Au hata jino kwa jino!
 
E

engmtolera

Verified Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
5,143
Points
1,250
E

engmtolera

Verified Member
Joined Oct 21, 2010
5,143 1,250
huo ni ujumbe tu kafikisha,wala msimtukane,hili jukwaa kila mtu anafikish ujumbe kwa njia tofauti
 
PROPHET POLY

PROPHET POLY

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Messages
470
Points
195
Age
7
PROPHET POLY

PROPHET POLY

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2012
470 195
nabii pasipo unabii!! Itakula kwako
ebu nikuulize nini maana ya nabii,maana watu wengi wanachukulia kama muujiza fulani-unabii ni sehemu tu ya mawasiliano na Mungu-yeyote amwaminiye Mungu na kufuata njia za Mungu anawasiana naye kadiri anavyopendezwa naye.fuata maagizo ya Mungu naye atakutumia.
 
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,495
Points
1,250
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,495 1,250
THANKX FOR CORRECTION ABOUT THE CAPITAL ANd SMALL LETTERS, BUT THE PROBLEM IS WITH MY PHONE I THINK BECAUSE I EVER WRITE IN CAPITALS BUT THEY CHANGE TO SMALL, I DO NOT KNOW WHY?
2.HAVE YOU EVER TAUGHT BEEN A TEACHER?WHAT DO YOU SAY WHEN INSTRUCTING A MESSAGE TO PUPILS,STUDENTS?
Hilo swali hapo namba 2. Labda tuulizane kwa lugha ya taifa ndo tutaelewana
 
PROPHET POLY

PROPHET POLY

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Messages
470
Points
195
Age
7
PROPHET POLY

PROPHET POLY

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2012
470 195
Hilo swali hapo namba 2. Labda tuulizane kwa lugha ya taifa ndo tutaelewana
1.Ulishawahi kufundisha au kuwa mwalimu?
2.Huwa unamwelekezaje mtu/mwanafunzi wako?
e.g.
Unamfundisha mtu kuendesha gari,Je unamwambia a)KATA KULIA AU KUSHOTO
B)TUNAKATA KULIA AU KUSHOTO?
 
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,495
Points
1,250
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,495 1,250
1.Ulishawahi kufundisha au kuwa mwalimu?
2.Huwa unamwelekezaje mtu/mwanafunzi wako?
e.g.
Unamfundisha mtu kuendesha gari,Je unamwambia a)KATA KULIA AU KUSHOTO
B)TUNAKATA KULIA AU KUSHOTO?
Hapo nimekuelewa mkuu,pale kwenye English I failed to understand
 
PROPHET POLY

PROPHET POLY

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Messages
470
Points
195
Age
7
PROPHET POLY

PROPHET POLY

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2012
470 195
Ahsante sana kwa tahadhari! Ila angekwambia na mwisho wa udhalimu ingekuwa vyema. Au hata jino kwa jino!
Kwa taarifa yako nchi HII HAIKO TENA MIKONONI MWA MDHALIMU, PIA SWALA LA JINO KWA JINO LKN TUNAMWOMBA MUNGU ASHUSHE HOFU YAKE KWAO ILI KUWE NA AMANI WAKATI UKIFIKA.
 
Forum statistics

Threads 1,285,566
Members 494,675
Posts 30,866,928
Top