Wapinzani wa nchi hii Uchaguzi huru na haki ni mpaka nyie mshinde? ACT- Wazalendo Konde mmeshinda kwa Tume gani ya Uchaguzi?

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
5,263
2,000
Sikweli kwamba Mbowe anasingiziwa,

Nadhani tuiache mahakama itatoa majibu
Ameshasingiziwa mangapi hata hilo liwe jipya?
Kama kweli mnaami kwamba ccm inakubalika mnaogopa nn katiba mpya na tume huru ya uchaguzi??? Si mkubali maana mna uhakika wa kushinda na kusikia dola miaka 1000 ijayo??
Mnaogopa SACCOSS??
 
CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
2,154
2,000

Hivi upinzani wa nchi hii Uchaguzi huru na haki ni mpaka nyie mshinde tu | Je! ACT- Wazalendo Konde mmeshinda kwa tume gani ya Uchaguzi? Hongera Rais Samia kwa kusimamia demokrasia nchini​

"Hakuna kama Samia "​

Upinzani wa nchi hii umekuwa ukipoteza sifa ( credibility ) siku baada ya siku kutokana na kauli na matendo ya viongozi wake pale uadilifu na uaminifu wao unapolinganishwa na viongozi wa Chama cha Mapinduzi | Chama tawala yaani CCM ni kama mashariki na magharibi,

Upinzani wa Tanzania ukitaka kuwaamini hawaaminiki ukitaka kuwasikiliza wanapiga kelele,Ukiwahurumia wanasema umewaogopa kwa kifupi Wapinzani wa Tanzania hawajui wanataka nini,

Wakati Chadema wanasusia Uchaguzi kwa kisingizio cha Tume ya Uchaguzi Tanzania kuwa si huru wakati huohuo ACT Wazalendo wanashinda Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Konde huko Zanzibar kwa tume hii hii ya NEC|ZEC "nimazingaombwe haya"

Chaajabu zaidi,Upinzani wa Tanzania adui yake namba moja ni dola wala sio Umasikini wa Watanzania, wala sio maradhi ya Watanzania wala sio Ujinga wa Watanzania wao kutwa ni ligi na Rais, ligi na IGP, ligi na Msajili, ligi na spika kwa kifupi hawajui wanataka nini kwa nani na kwanini.

Kwa msiofahamu,Vyama hivi vimepoteza sana dira za vijana wengi kwa vijana hao kutokufahamu origin ya vyama hivyo kabla ya kujiunga, hebu fikiria Chadema ni matokeo ya Ugomvi baina ya Mwl Nyerere na Gavana Edwin Mtei ndio ikazaliwa Chadema wewe unayejiita kamanda Chama zao la mgogoro unadhani kitakufikisha au kitafika wapi kama sio migogoro kila siku? au Ugomvi wa Mbowe na Zitto ikazaliwa ACT-Wazalendo vyie Ngome ya Vijana kwanini mtumike kuchagiza gomvi za watu !? Is there any bright future kweli ACT | CHADEMA ?

Hivi kweli mtu aache kuchagua SGR toka Dar-Mwanza masaa 9,aache MW 2,115 toka JNHPP aache kuvuta Umeme kwa Tshs 27,000,aache chama kinachonunua ndege mpya 16,aache kuchagua chama kinachosomesha watoto wake wote bure,aache chama kinachotoa mikopo ya HESLB kwa wanachuo wote,aache chama kinachosimamia mikopo kwa riba ya 10%,aaache chama kinachosimamia bando kwa bei chee Africa nzima, aache chama kinachouza umeme chee Africa Mashariki yote ni $0.099/KWh leo achague hizo NGOs zenu kweli, don't waste your time bro's & sisters,

" Ukweli mchungu,Tanzania bado hakuna Chama mbadala wa CCM tukitegemee labda miaka ya 2060 "

#VIJANA NJOONI CCM TUMSAIDIE MAMA SAMIA KUJENGA NCHI TUNAJUA MNAZO NGUVU ACHENI KUCHAGIZA MIGOGORO YA WATU HUKO,

View attachment 1970343

MBUNGE MTEULE ACT-WAZALENDO

ILA TUME NI ILEILE ISIYOHURU-ZEC
14|10|2021

Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge

Sherehe zitafanyika Uwanja wa Magufuli,

Karibu sana njoo Uungane na Rais wako,

_________________
 
Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
5,263
2,000
Zanzibar Kode wezi walikufa?

14|10|2021

Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge

Sherehe zitafanyika Uwanja wa Magufuli,

Karibu sana njoo Uungane na Rais wako,

_________________
Wiki ya vijana malamba viatu????
Mnaitangazia dunia juu ya wiki ya vijana huku vijana wanabaguliwa kwenye ajira? (Rejea kauli ya simbachewene ITV)
Karne ya 21 iliyojaa technology bado mnategemea kulinda mabank kwa virungu????
Tuambieni Tija ya hiyo wiki ya vijana huku vijana wasomi wakibobea kwenye MUZIKI,POMBE, POOL TABLE Na KUBASHIRI KAMARI.......
 
kitimtim

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
947
1,000

Hivi upinzani wa nchi hii Uchaguzi huru na haki ni mpaka nyie mshinde tu | Je! ACT- Wazalendo Konde mmeshinda kwa tume gani ya Uchaguzi? Hongera Rais Samia kwa kusimamia demokrasia nchini​

"Hakuna kama Samia "​

Upinzani wa nchi hii umekuwa ukipoteza sifa ( credibility ) siku baada ya siku kutokana na kauli na matendo ya viongozi wake pale uadilifu na uaminifu wao unapolinganishwa na viongozi wa Chama cha Mapinduzi | Chama tawala yaani CCM ni kama mashariki na magharibi,

Upinzani wa Tanzania ukitaka kuwaamini hawaaminiki ukitaka kuwasikiliza wanapiga kelele,Ukiwahurumia wanasema umewaogopa kwa kifupi Wapinzani wa Tanzania hawajui wanataka nini,

Wakati Chadema wanasusia Uchaguzi kwa kisingizio cha Tume ya Uchaguzi Tanzania kuwa si huru wakati huohuo ACT Wazalendo wanashinda Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Konde huko Zanzibar kwa tume hii hii ya NEC|ZEC "nimazingaombwe haya"

Chaajabu zaidi,Upinzani wa Tanzania adui yake namba moja ni dola wala sio Umasikini wa Watanzania, wala sio maradhi ya Watanzania wala sio Ujinga wa Watanzania wao kutwa ni ligi na Rais, ligi na IGP, ligi na Msajili, ligi na spika kwa kifupi hawajui wanataka nini kwa nani na kwanini.

Kwa msiofahamu,Vyama hivi vimepoteza sana dira za vijana wengi kwa vijana hao kutokufahamu origin ya vyama hivyo kabla ya kujiunga, hebu fikiria Chadema ni matokeo ya Ugomvi baina ya Mwl Nyerere na Gavana Edwin Mtei ndio ikazaliwa Chadema wewe unayejiita kamanda Chama zao la mgogoro unadhani kitakufikisha au kitafika wapi kama sio migogoro kila siku? au Ugomvi wa Mbowe na Zitto ikazaliwa ACT-Wazalendo vyie Ngome ya Vijana kwanini mtumike kuchagiza gomvi za watu !? Is there any bright future kweli ACT | CHADEMA ?

Hivi kweli mtu aache kuchagua SGR toka Dar-Mwanza masaa 9,aache MW 2,115 toka JNHPP aache kuvuta Umeme kwa Tshs 27,000,aache chama kinachonunua ndege mpya 16,aache kuchagua chama kinachosomesha watoto wake wote bure,aache chama kinachotoa mikopo ya HESLB kwa wanachuo wote,aache chama kinachosimamia mikopo kwa riba ya 10%,aaache chama kinachosimamia bando kwa bei chee Africa nzima, aache chama kinachouza umeme chee Africa Mashariki yote ni $0.099/KWh leo achague hizo NGOs zenu kweli, don't waste your time bro's & sisters,

" Ukweli mchungu,Tanzania bado hakuna Chama mbadala wa CCM tukitegemee labda miaka ya 2060 "

#VIJANA NJOONI CCM TUMSAIDIE MAMA SAMIA KUJENGA NCHI TUNAJUA MNAZO NGUVU ACHENI KUCHAGIZA MIGOGORO YA WATU HUKO,

View attachment 1970343

MBUNGE MTEULE ACT-WAZALENDO

ILA TUME NI ILEILE ISIYOHURU-ZEC

ZANZIBAR WAKO MBELE SANA HUWEZI FANANISHA NA BARA......ZANZIBAR WAKIACHWA WAJIAMULIE WENYEWE WANA MAMBO YAO MAZURI NA YA UPENDO NA MISIMAMO ......ILA CCM BARA TUMEINGIZA MIPANDIKIZI KULE JAPO WAO WENYEWE SOMETIMES WANAFURUKUTA KUPAMBANA NA HII TABIA NDO MAANA SOMETIMES WANAONA HAYA KUPAMBANA NA FUKUTO ZA WAZANZIBARI WAZIWAZI...SO WAKOLONI WA BARA WANAKUWA WAPOLE BAADHI YA VITU
 
Almighty

JF-Expert Member
May 27, 2020
602
500

Kwani Zanzibar ni nchi gani mkuu?
 
Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Jul 10, 2020
983
1,000
Jabali la pumba, kwenye madai ya wapinzani hawakuwahi kuwa na tafsiri yako ya “uchaguzi huru na haki”. Huna uwezo wa kutambua hili “uchaguzi ni mchakato, sio matokeo”!!

Uchaguzi unaoruhusu mmoja afanye kampeni na mwingine akafanya kwa bugudha? Unaotaka mkurugenzi kuwa ndio mwenye kuchagua nani awe wakala nani asiwe? Unaoondoa wagombea kwa kosa la kiuandishi? Unaoleta mshindi wa bila kupingwa (you cannot choose from one, they say). Uchaguzi unaosimamiwa na mmoja wa washindani? MaDED wote ni wanachama wa CCM!

Kwa kuzungumzia matokeo umemaanisha hili “the end result justifies the means” na approach hiyo haijawahi kuwa sahihi!!

Haki sawa kwa wote!!

IMG-20211015-WA0040.jpg
 
Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Jul 10, 2020
983
1,000
Umesahau Jecha alichokifanya Zanzibar baada ya kuona Maalim Seif anaongoza kwa mbali sana?
Eti uchaguzi ukafuwa!Yaani kituo hicho hicho kimoja mtu kapiga kura ya Rais Wa JMT,Rais Wa Zanzibar na mbunge halafu wanasema kura za Rais Zanzibar pekee ndio batili hivyo uchaguzi umefutwa!
Kama sio kubebwa na tume ni nini?
Hii kuachiwa jimbo ni geresha,wao wanaangalia kiti kikubwa!

ACHENE KUISHI THE PAST WAZEE
 
Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Jul 10, 2020
983
1,000
Crazy idiot thinking: Chaajabu zaidi,Upinzani wa Tanzania adui yake namba moja ni dola wala sio Umasikini wa Watanzania, wala sio maradhi ya Watanzania wala sio Ujinga wa Watanzania wao kutwa ni ligi na Rais, ligi na IGP, ligi na Msajili, ligi na spika kwa kifupi hawajui wanataka nini kwa nani na kwanini.

Kilaza kama wewe hujui chimbuko la umaskini, maradhi na ujinga kuwa ni utawala mbovu na siasa za kipumbavu?
Kilaza kama wewe huelewi kuwa IGP, msajili na rais na magugu ya CCmboga ndiyo chanzo cha shida zote? Vilaza kama wewe unafikiria matawi badala mizizi.
Wanajua wanataka nini na hata wewe unajua wanataka nini-- KUSHIKA DOLA!!
Ndiyo shida ya chifu Hangaya, IGP, ****** na wengine.
Nikupe ushauri! Waambie wenzio waachie tume iwe huru,Siro na jeshi lake wawe fair, Chifu Hangaya asitumie dola kwenye uchaguzi na tutumie katiba hii hii mbovu--- DOLA INACHUKULIWA ASUBUHI na mapema! Asiamini usiamini
Tatizo mnatukana sana
 
Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
43,515
2,000
2010 wapigakura walikuwa asilimia ngapi ya waliojiandikisha

Haifahamiki maana idadi ya kujiandikisha ilikuwa ya kupika, na hata waliopiga kura bado idadi ilipikwa. Na sababu hiyo hata kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi wameogopa kuweka matokeo ya uchaguzi wa ule.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom