Wapinzani wa nchi hii Uchaguzi huru na haki ni mpaka nyie mshinde? ACT- Wazalendo Konde mmeshinda kwa Tume gani ya Uchaguzi?

Kwani lini ccm ilishinda huko kwa Wapemba? Safari hii baada ya ACT kusema wanajitoa serikali ya umoja wa kitaifa ndio majizi ya kura imebidi muone soni.
Haya ni mawazo yako na yakusaidie wewe,

CCM CHAMA KAZIIENDELEE
 
Rejea idadi ndogo sana ya wapiga kura huko Ushetu ndio ujue hiki sio kizazi cha ccm.
Idadi ndogo ya wapiga kura inaweza kuchangiwa na wananchi kuamini kuwa chama fulani kitashinda tu kwa kuwa hakina upinzani; siyo lazima iwe watu kususia uchaguzi eti kwa kuwa chadema hawakushiriki.
 
Lete ushahidi acha longolongo

Sina shaka ya nisemacho. Ukitaka kujua hakukuwa na uchaguzi bali uhuni wa kizee, ingia kwenye tovuti ya tume kama kuna matokeo yoyote ya uchaguzi toka mwendakuzimu ameingia madarakani. Lakini ingia kwenye tovuti ya NECTA matokeo ya miaka mingi ya shule yapo.
 
Nyie inabidi muombe mechi ya malumbamo ya HOJA Club House au Twitter Space.
Sometime mnaonekana kusimamia mambo ya kiujanjaujanja zaidi.
Inabidi tutoke huko.

Hivi wewe Ukaambiwa Kuna Mechi ya Simba na Yanga halafu Ukaambiwa Refa mi Manara. Hayo matokeo yatakuwa na uhalali kwa kiasi gani.
Yanakuwaje halali wakati Refa ana upande?
Nijibu kuhusu Konde kama kweli wewe ni muungwana
 
Mbona kabla ya dhalimu kunajisi chaguzi zetu na kupandikiza uhayawani wapiga kura walikuwa wengi?
Idadi ndogo ya wapiga kura inaweza kuchangiwa na wananchi kuamini kuwa chama fulani kitashinda tu kwa kuwa hakina upinzani; siyo lazima iwe watu kususia uchaguzi eti kwa kuwa chadema hawakushiriki.
 
Sina shaka ya nisemacho. Ukitaka kujua hakukuwa na uchaguzi bali uhuni wa kizee, ingia kwenye tovuti ya tume kama kuna matokeo yoyote ya uchaguzi toka mwendakuzimu ameingia madarakani. Lakini ingia kwenye tovuti ya NECTA matokeo ya miaka mingi ya shule yapo.Acha

Acha kuchagiza migogoro ya watu njoo CCM,
 
Nijibu kuhusu Konde kama kweli wewe ni muungwana
Konde CCM wangeshinda kila mtu angeliona kuna janjajanja. Ile Ni Ngome ya Upinzani looking time. So Jimbo limerudi linakostahili. Hakuna jipya. Isiyoshe pale Kuna Serikali ya Kitaifa, ACT wako Serikalini, sio rahisi Sana kufanya mafongo fyongo!
 
Mbona kabla ya dhalimu kunajisi chaguzi zetu na kupandikiza uhayawani wapiga kura walikuwa wengi?
Halafu wewe! Kwani chadema ya wakati ule unaweza kuilinganisha na hili genge la wahuni la sasa hivi?
Chadema ya dr slaa ilikuwa chama halisi cha kisiasa iliyojikita kwenye kupigania issues zilizokuwa zinawakabili wananchi na nchi kwa ujumla. Chadema ya sasa hivi haina chochote inachosimamia zaidi ya porojo, matusi na sasa ugaidi!
 
Hawa ni Chadema kamsikile ni mstaafu bwana Polepole
Kuchapisha kura fake na kutamba nazo mitaani tena kwenye vituo vya kupigia kura tena kwenye siku ya kupiga kura ni very serious crime,ni kosa la jinai ambalo ni serious sana!

Sasa kama ni Chadema walichapisha kura fake kwa nini hawajakamatwa na kushtakiwa kwa kutenda kosa hilo ambalo ni very serious crime?
709081.jpg
098765.jpg

12460.jpg
 
Back
Top Bottom