Wapinzani wa CDM: zaidi ya ushauri na kujipima nao nini kingine mnacho? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapinzani wa CDM: zaidi ya ushauri na kujipima nao nini kingine mnacho?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nicholas, Sep 15, 2012.

 1. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Kumekuwa na wimbi kubwa la viongozi,wanachama, na wapiga debe wa vyama mbalimbali nchini kujiweka kama washauri wa Chadema.Wengine wanaanzish vyama na kuzindua kwa kusema wazi kuwa CDM wajiandae.Najiuliza:

  -Je ni vipi waishauri CDM wakati vyama vyao vipo hoi?tena mbaya utakuta hata kiongozi wa chama kabisa anashauri CDM.

  -Kwanini malengeo yawe CDM wakati aliyepo madarakani ni CCM?Au CDM wamesha set standards na wengine wanazifuata?


  -Nini kinawavutia sana kwa CDM zaidi ya vyama vingine?
   
 2. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Mbatia ,CCJ na wengine wapo wapi awashauri CCM kuhusu yaliyotokea Zanzibar?This time si polisi tuu bali hata chama cha siasa kimefanya vurugu.Raia wasio na hatia na waandishi wamekuwa wahanga tena.
   
 3. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  wapo wapi washauri wa CDM?AU minyukano ya CCM imewaweka kuwa busy sana?
   
 4. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Kw aharaka haraka mapitio ya mlolongo wa ushauri toka kwa wasamaria wema wanaojitambulisha kuwa wametoka CCM,au CUF au wasomi huru unaonyesha kuwa ushauri wao ulifanana sana na walichofanya CCM,tume na vyama shirika.Hii inamaanisha washauri wengi waotoa maoni yao publicly kwa CDM ni watu waliowekwa kubadili opinions za watu na vilevile kuwapotosha CDM.Watu hawa walipewa public profle kubwa kuliko uwezo wao au kazi walizowahi fanya.
   
 5. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  CDM ni lazima wawe makini sana na wachambuzi ktk magazeti na vyombo vingine vya habari.Wengi wao kama si wote wanaafanya upotoshaji kuanzia kwa raia,wananchi, vyombo vya uchaguzi na usalama pamoja na waandishi wasio na upeo mkubwa.

  Ni wazi kuwa miaka ya nyuma CCM ilifanikiwa sana kupotosha fikra na kufanya vyama vungine vichague less than the top.NI maeneo mengine CDM wanapaswa wekeza nguvu systematically.
   
Loading...