Kitungamirwa
JF-Expert Member
- Mar 28, 2012
- 344
- 105
Hii kauli mara nyingi huwa inanichekesha. Hebu jaribuni kubadili majibu yenu basiKama ulitegemea watakuletea hela mfukoni pole yako.
MAGUFULI4LIFE.
Hii kauli mara nyingi huwa inanichekesha. Hebu jaribuni kubadili majibu yenu basiKama ulitegemea watakuletea hela mfukoni pole yako.
MAGUFULI4LIFE.
i). Je, kadri demokrasia ya vyama vingi inavyozidi kuenea mataifa mbalimbali ni nani anayenufaika?Hii kauli mara nyingi huwa inanichekesha. Hebu jaribuni kubadili majibu yenu basi
Kuna mahali nimeomba kupewa pesa?Kama ulitegemea watakuletea hela mfukoni pole yako.
MAGUFULI4LIFE.
Daaaah ni wewe huyu kaka mkubwa?Naunga mkono hoja,
Tafuta, utapata!
Bisha hodi, utafunguliwa!
Omba, utapewa!.
Ukishikwa, shikamana,
Ukiaminiwa, jiaminishe!
Wapinzani mliaminiwa na Watanzania,
Mkapoteza uaminifu!,
Omba msamaha, utasamehewa!.
P
Mkuu samora10 , yes ni mimi, kada P.Daaaah ni wewe huyu kaka mkubwa?
Naunga mkono hoja,
Tafuta, utapata!
Bisha hodi, utafunguliwa!
Omba, utapewa!.
Ukishikwa, shikamana,
Ukiaminiwa, jiaminishe!
Wapinzani mliaminiwa na Watanzania,
Mkapoteza uaminifu!,
Omba msamaha, utasamehewa!.
P
You are brainwshed ndugu, pole sana. Wapinzani wenu ni wajinga na wapumbavu sana. Wanatumika na wazungu then ninyi mnashangilia. Subirini sasa muone maana si mnawatia viburi wasiombe msamaha, mpaka 2025 watapotea wote kwenye siasa, maana sasa watanzania wamekataa maandamano, kinachofuata ni kukataa kila wazo lao, ila wakiomba msamaha inaweza saidia kurejesha imani japo kidogo.Hivi huwa mnafikiria kabla ya kuandika kweli? Wapinzani wakataka kuuza rasilimali za nchi? How? When? Ndio waliopandisha Twiga kwenye Ndege au? Ndio waliogawa gesi kule Mtwara au? Ndio walioiingiza nchi kwenye mikataba ya ovyo au?
Anyway, furahini na kushangilia kwa sasa kwa sababu mna mbeleko ya vyombo vya dola; kwa sababu mmeshikilia mifumo yote ya nchi; kwa sababu mna madaraka ya kusema hili liwe au lisiwe na ikawa hivyo sio kwa hoja au kwa misingi ya kisheria ila kwa kutumia nguvu! Ila iko siku!
Wapo hoi ndiyo maana hawashangiliiCCM mbona mnahangaika?
Definition ni CCM kuchaguliwa kwa wizi na mabavu ya dolaWatu wanafikiri definition ya demokrasia ni mpaka CHADEMA wachaguliwe
Nianze kwa kuwapongeza Watanzania kwa uzalendo wao wa kuchagua maendeleo bila kujali itikadi za vyama vyao, hakika ushindi wa CCM ni uthibitisho wa mageuzi ya ki-fikra ya Mwafrika yenye kuachana na mawazo tegemezi ya kila aletacho mzungu ni bora kuliko tulicho nacho.
Binafsi nilikuwa nina uhakika kama ilivyo kwa wazalendo wengi kuwa CCM ilikuwa lazima ishinde kwa sababu ambazo hata wapinzani walizifahamu.
Badala ya kuitisha maandamano, fanyeni press conference muwaombe msamaha watanzania kwa upotoshaji wenu, pia na ushiriki wenu wa kuisaliti nchi kwa misingi ya kutaka kuuza rasilimali za nchi yetu.
Hakika hamjachelewa, mkiomba msamaha, watanzania watawasamehe
Mkuu mbona unaonekana una akili mgando? Lissu na genge lake waliandaa kura fake, wakazikamata wao. Na matukio ya yalipangwa mengi. Mojawapo ni Lissu kusema ndege kacheleweshwa mara kivuko kimegoma mara muda wa kuhutubia anapitiliza, so lazima utumie akili kidogo kuelewa Lissu na genge lake walipanga vitu hivyo vyote mkuu, na ndiyo maana watanzania wakagundua walio wengi. So acha kujidanganya mkuu.Watanzania wapi boss, hizo propaganda za ulaya mashariki ya zamani mtawalisha wazee na wasiojua ukweli , lakini 2/3 ya watanzania wamepuuza hizo propaganda mfu. Tumeona kwa macho yetu kile kilichofanyika juzi kwenye uchaguzi wetu, ni mwendawazimu na mtu aliyepoteza uwezo wa kupambana bila mbeleko kama ww, ndio anaweza kuamini kile kilichofanyika juzi ni uchaguzi. Ule haukuwa uchaguzi, bali ilikuwa maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye uchaguzi.
guilty conscious ndio watabaki nayo mileleCCM mbona mnahangaika?
hahaha wamefanya nini uchaguzi, daahDunia nzima imeshuhudia zile sandarusi za kura fake. Ni ngumu sana kulawiti uchaguzi bila ya kujulikana kwenye dunia hii ya utandawazi.Miaka yote tumekuwa tukishuhudia CCM wakiiba kura ila awamu hii badala ya kuiba kura wamelawiti uchaguzi.CCM wanapaswa kutubu kwa kukabidhi nchi kwa upinzani.
Hakuna wizi mkuu.Definition ni CCM kuchaguliwa kwa wizi na mabavu ya dola
nafikiri ukiingia tu huko lazima akili ifanyiwe kitu ndio maana wote kufikiri kwao kunafanana hahahahaHivi huwa mnafikiria kabla ya kuandika kweli? Wapinzani wakataka kuuza rasilimali za nchi? How? When? Ndio waliopandisha Twiga kwenye Ndege au? Ndio waliogawa gesi kule Mtwara au? Ndio walioiingiza nchi kwenye mikataba ya ovyo au?
Anyway, furahini na kushangilia kwa sasa kwa sababu mna mbeleko ya vyombo vya dola; kwa sababu mmeshikilia mifumo yote ya nchi; kwa sababu mna madaraka ya kusema hili liwe au lisiwe na ikawa hivyo sio kwa hoja au kwa misingi ya kisheria ila kwa kutumia nguvu! Ila iko siku!
Mkuu mbona unaonekana una akili mgando? Lisu na genge lake waliandaa kura fake, wakazikamata wao. Na matukio ya yalipangwa mengi. Mojawapo ni Lisu kusema ndege kacheleweshwa mara kivuko kimegoma mara muda wa kuhutubia anapitiliza, so lazima utumie akili kidogo kuelewa Lisu na genge lake walipanga vitu hivyo vyote mkuu, na ndiyo maana watanzania wakagundua walio wengi. So acha kujidanganya mkuu.