2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,360
- 6,066
Kule USA, ma rapper ambao ni black Americans wanaongoza kwa misukosuko, na kufungwa kwa tuhuma mbalimbali. Sababu zikihusishwa kati ya either uhalifu ama ubaguzi(racism).
Hapa tizedi, wanachama wa upinzani wanaongoza kwa misukosuko na kusota jela kuliko chama tawala. Sababu bado haijajulikana...
Je upinzani wafanyaje waweze kunusurika?.
Hapa tizedi, wanachama wa upinzani wanaongoza kwa misukosuko na kusota jela kuliko chama tawala. Sababu bado haijajulikana...
Je upinzani wafanyaje waweze kunusurika?.