Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 46,987
- 144,319
Nafikiri wakati umefika kwa wapinzani, wanaharakati na Watanzania kwa ujumla tudaii kutolewa kwa ripoti ya uchunguzi pale BOT kama Raisi Samia alivyokuwa ameagiza.
CHADEMA, ahadi ya kukaribishwa Ikulu isiwatoe kwenye reli wala kuwaziba midomo nyinyi kama wapinzani.
ACT, na nyinyi kuwa sehemu ya serikali huko Zanzibar pia kusiwazibe midomo.
Kama report bado(ingawa sitaki kuamini) basi tuambiwe.