Wapinzani na Watanzania kwa ujumla, tudai kutoelewa hadharani kwa ripoti ya uchunguzi wa BOT

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,982
144,308
Nafikiri wakati umefika kwa wapinzani, wanaharakati na Watanzania kwa ujumla tudaii kutolewa kwa ripoti ya uchunguzi pale BOT kama Raisi Samia alivyokuwa ameagiza.

CHADEMA, ahadi ya kukaribishwa Ikulu isiwatoe kwenye reli wala kuwaziba midomo nyinyi kama wapinzani.

ACT, na nyinyi kuwa sehemu ya serikali huko Zanzibar pia kusiwazibe midomo.

Kama report bado(ingawa sitaki kuamini) basi tuambiwe.
 
Vyama vya siasa vitoe mwongozo
Ni kudai kwa nguvu zote
Watu wawajibishwe
Report ya CAG
Report ya BOT ziwekwe hadharani
WaTz wepesi kusahau Wagumu Kuelewa
Kuna mambo ya ovyo yana trend mitandaoni kuliko mambo ya muhimu
Chadema msijidanganye saaaana kwenye kukutana na mkulu
Mnalo jukumu la kutoa muongozo
 
Tusimuachie Kigogo kila kitu kwani kuna siku anaweza asiwepo au nae akaamua kukaa kimya.
 
Nafikiri wakati umefika kwa wapinzani, wanaharakati na watanzania kwa ujumla tudaii kutolewa kwa ripoti ya uchunguzi pale BOT kama Raisi Ssmia alivyokuwa ameagiza.

CHADEMA,ahadi ya kukaribishwa Ikulu isiwatoe kwenye reli wala kuwaziba midomo nyinyi kama wapinzani.

ACT,na nyinyi kuwa sehemu ya serikali huko Zanzibar pia kusiwazibe midomo.

Kama report bado(ingawa sitaki kuamini) basi tuambiwe.
Ni kweli mkuu ... safi sana kulishupalia hili
 
Nafikiri wakati umefika kwa wapinzani, wanaharakati na watanzania kwa ujumla tudaii kutolewa kwa ripoti ya uchunguzi pale BOT kama Raisi Ssmia alivyokuwa ameagiza.

CHADEMA,ahadi ya kukaribishwa Ikulu isiwatoe kwenye reli wala kuwaziba midomo nyinyi kama wapinzani.

ACT,na nyinyi kuwa sehemu ya serikali huko Zanzibar pia kusiwazibe midomo.

Kama report bado(ingawa sitaki kuamini) basi tuambiwe.
Naona mnaanza kuchomiza pembe zenu sasa
 
Ni kweli kabisa @ Mleta Mada.

Mwiba uchomapo ndipo utolewapo.

Kwa kuwa maagizo yalitokewa hadharani tukisikia vivyo hivyo tunataka taarifa isomwe kupitia vyombo vya Habari hata kama maagizo yangetolewa ofisini ni haki yetu wananchi kupewa taarifa ya yaliyojiri kutokana na ukaguzi wa kiuchunguzi uloagizwa kufanyika na Rais Samia.
 
Kilizi wa taifa,hivi hiyo ripoti kaiagiza "lahisi Tundu Rissu"

Back
Top Bottom