Wapinzani msione aibu kushirikiana na CCM kwenye hoja zenye maslahi ya Taifa! Bashe ni mzalendo, aungwe mkono na wote!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,443
113,456
Wanabodi,
Sii mara moja wala mbili nimewahi kusema tatizo kubwa la siasa za Tanzania ni ignorance and to some extent stupidity!. CCM na wana CCM wanaongoza kwa politics of supremacy na politics of superiority complex kuwa wao ndio chama tawala, hivyo ndio pekee wenye haki miliki ya kuitawala Tanzania milele, na wapinzani wakifanya offensive politics with inferiority complex kuwa wapinzani wanaonewa hivyo kukosoa kila kitu kinachofanywa na serikali ya CCM hata kiwe ni kizuri vipi!. Huku CCM wakipinga kila hoja za upinzani, na kwa kuzingatia Spika wa Bunge na Naibu wake wote ni kutoka CCM, sometimes huu ni ujinga na kwa kiasi fulani, this is stupidity!. Ili tuwe na Bunge la haki bin haki, nashauri Spika wa Bunge asitokane na chama cha siasa, awe ni mtu neutral kama majaji, msajili wa vyama au wateule ambao sio makada ili aweze kuliongoza Bunge bila ukada wa chama chake.

CCM haina haki miliki ya kuitawala Tanzania milele, bali imepewa tuu dhamama ya kuitawala Tanzania na Watanzania kupitia uchaguzi 'huru na wa haki', lakini CCM sio malaika, kuna mazuri mengi imefanya, yanapaswa kuungwa mkono, lakini pia kuna mabaya imefanya inapaswa kulaumiwa, kuonywa au kuadhibiwa.

Upinzani nao japo ni jukumu lake kupinga na kukosoa, lakini sio kupinga tuu kila kitu, linapokuja suala la maslahi kwa taifa lenye national interests, CCM na Wapinzani wanapaswa kuweka tofauti zao pembeni na kuwa kitu kimoja, hivyo kwenye mazuri ya CCM kwa maslahi ya taifa, Wapinzani msione aibu kuiunga mkono CCM na kuipongeza, na CCM nayo pia inapokutana na hoja za upinzani zenye maslahi kwa taifa mfano inapokopy hoja nzuri au sera mzuri za wapinzani na kuzitekeleza, isione aibu kuwapongeza wapinzani kama hoja ya katiba mpya, elimu bure etc.

Kama nilivyosema tatizo kubwa la siasa zetu ni ujinga, ignorance, nikimaanisha Tanzania tuna wajinga wengi tena wengine sio wajinga tuu bali ni vichaa ila hawajaanza kuokota makopo!. Hivyo ndani ya CCM, kuna wenye akili wengi, wajinga wengi na kuna vichaa wachache na ndani ya upinzani pia kuna wenye akili, wajinga wengi na vichaa pia, na kubwa kuliko ni kwetu sisi Watanzania hali halisi ni hii Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo!. Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?!.

Lakini pamoja na wajinga hawa na vichaa hawa, miongoni mwao, tuna watu wazuri, wazalendo wa kweli wa taifa hili ambao kwao ni Tanzania kwanza, vyama baadae. Wazalendo wa aina hii wapo CCM, pia wapo upinzani. Miongoni mwa wazalendo hawa ni Marehemu Deo Filikunjombe, huyu alikuwa ni mbunge wa CCM lakini alitanguliza mbele maslahi ya taifa, hivyo sasa kupitia Hussein Bashe, naona kama the spirit of Deo Filikunjombe still lives on.

Nimeguswa kupandisha uzi huu baada ya kuguswa na maneno haya ya Hussein Bashe
tusitafute cheap answers kwenye critical issues I-salute waloamua kwenda mahakamani kina Karume bcs hiyo ni njia sahihi bcs Nchi yetu Ina Legal platformlet us not mislead pple na hili jambo CCM waathirika ,CDM waathirika wasiokua na vyama waathirika every one has to do his Part

Good day nafaham IPO siku watanielewa
Bashe....
This is the bottom line!.
Mimi nimemuelewa Bashe!. Wapinzani igeni mazuri ya wanaCCM wazuri wakiwemo wabunge wa CCM!, and Bashe is one of them!. I can see the spirit of Deo Filikunjombe born again through Bashe!.

Kiukweli kabisa ni wabunge wachache wa CCM wanaotanguliza mbele maslahi ya taifa. Wengi wa wabunge wetu wa CCM na Upinzani alike, hawajui wako mule bungeni kufanya nini wala hawajui kazi za Bunge na wajibu wao mle Bungeni!.

Wabunge wa CCM wao wanachojua ni maadamu wamechaguliwa kupitia CCM, kwao CCM ndio kila kitu, wako pale kwa ajili ya CCM, hivyo hoja yoyote itakayoletwa na serikali kazi ni kuunga tuu mkono na kusema "ndio" kwa hoja zozote za wabunge wa CCM na kupinga hoja yoyote itakayotolewa na upinzani, hata iwe hoja nzuri vipi, wao wataipinga. Huku wapinzani Bungeni kazi yao ni kupinga tuu hoja zote za serikali au hoja za wabunge wa CCM. CCM inautumia vibaya wingi wake bungeni wakati wapinzani wakiutumia vibaya upinzani wao kwa kupinga kila kitu.

Zitto Kabwe alipotoa hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu, miingoni mwa wabunge watatu wa CCM waliomuunga mkono ni Deo Filikunjombe, Nimrod Mkono na Ester Bulaya hadi mimi kumpongeza Ester Bulaya, Mbunge wa CCM, Mhe. Esta Bulaya, Afanya Tukio la Kishujaa Mjini Dodoma!

Sasa Bashe ametoa hoja muhimu sana kwa maslahi ya Taifa, amejivua u CCM wake na kuvaa utaifa kulitumia Bunge kuisimamia serikali, hata kama serikali yenyewe ni serikali ya chama chake CCM, pale inaposhindwa kutimiza wajibu wake na majujumu yake ni taasisi mbili tuu zenye mamlaka na uwezo wa kuisimamia na kuiadabisha serikali. Taasisi hizi ni Bunge na Mahakama.

Inapotokea serikali ya CCM kukosolewa na mbunge wa CCM kwenye hoja zenye maslahi kwa taifa, WanaCCM majinga na vichaa, watamuona Bashe kama sio mwenzao, na wapinzani majinga na vichaa, watambeza Bashe badala ya kumuunga mkono!. Huu ni ujinga!.

Natoa wito sio kwa tuu Bashe aungwe mkono na wazalendo wote wenye kulitakia mema taifa hili bali zinapotokea hoja zozote kwa maslahi bila kujali zimetolewa na nani, hoja hizo ziungwe mkono na wazalendo wote wenye mapenzi mema na taifa hili.

Kuhusu hoja ya Bunge kuisimamia serikali, mimi kwa upande wangu niliishatoa angalizo hili siku nyingi nyuma

Wabunge Wetu wa Ajabu!, Wanaachaje Bunge Lijipendekeze Kwa Serikali!, Wanajua Wajibu Wao?. Check 'n' Balance Itoke Wapi?
Kumbe miongoni mwa wabunge wa CCM, pia bado tunawazalendo wachache!, wazalendo hawa waungwe mkono kwa dhati na Watanzania wazalendo wote wenye kulitakia mema taifa letu.

Naomba pia kutoa angalizo kuhusu wabunge vocal na wazalendo kama hawa kwa siku za nyuma.
Siku zote wabunge vocal huwa wananyamazishwa kwa kutupiwa pande, ndicho kilichofanyika kwa Mwakyembe, Mwigulu Nchemba, Kangi Lugora, Dr. Kigwangala etc, hivyo this Bashe, is a man to watch, hachelewi kutupiwa pande la mnofu, halafu mumsikilize kama mtamsikia tena!.

Siku Njema
Paskali.
 
Wapinzani hupeleka hoja ila bunge la ccm awamu hii wako kma wafu kulinda nafasi zao,mana wanajua 2020 kura za maoni watatupwa na polepole..hili bunge la awamu hii ya ccm walinda viti vyao ni bunge la hovyo dunia nzima kuwahi kutokea.mbunge anapigwa risasi wao kimya hpo unategemea nini
 
Wanabodi,
Sii mara moja wala mbili nimewahi kusema tatizo kubwa la siasa za Tanzania ni ignorance and to some extent stupidity!. CCM na wana CCM wanaongoza kwa supremacy politics kwa superiority complexity kuwa wao ndio wenye haki miliki ya kuitawala Tanzania, na wapinzani wakifanya offensive politics with inferiority complex kuwa wanaonewa na kukosoa kila kinachofanywa na CCM hata kiwe kizuri vipi!. Huu ni ujinga na wengine ni stupidity!.

CCM haina haki miliki ya kuitawala Tanzania milele, bali imepewa tuu dhamama na Watanzania katika uchaguzi 'huru na wa haki', lakini CCM sio malaika, kuna mazuri mengi imefanya, yanapaswa kuungwa mkono, lakini pia kuna mabaya imefanya inapaswa kulaumiwa, kuonywa au kuadhibiwa.

Upinzani japo ni jukumu lake kukosoa, lakini sii kupinga kila kitu, linapokuja suala la national interests, CCM na Wapinzani wanapaswa kuweka tofauti zao pembeni na kuwa kitu kimoja, hivyo kwenye mazuri ya CCM kwa maslahi ya taifa, Wapinzani msione aibu kuiunga mkono CCM na kuipongeza, na CCM nayo pia inapokopy hoja nzuri au sera mzuri za wapinzani na kuzitekeleza, isione aibu kuwapongeza wapinzani kama hoja ya katiba mpya, elimu bure etc.

Kama nilivyosema tatizo kubwa la siasa zetu ni ujinga, ignorance, nikimaanisha Tanzania tuna wajinga wengi tena wengine sio wajinga tuu ni vichaa!. Hivyo ndani ya CCM, kuna wajinga wengi na kuna vichaa wengi na ndani ya upinzani pia kuna wajinga wengi na vichaa wengi.

Lakini pamoja na wajinga hawa na vichaa hawa, miongoni mwao, tuna watu wazuri, wazalendo wa kweli wa taifa hili ambao kwao ni Tanzania kwanza, vyama baadae. Wazalendo wa aina hii wapo CCM, pia wapo upinzani. Miongoni mwa wazalendo hawa ni Marehemu Deo Filikunjombe, hivyo sasa kupitia Hussein Bashe, naona kama the spirit of Deo Filikunjombe still lives on.

Nimeguswa kupandisha uzi huu baada ya kuguswa na maneno haya ya Hussein Bashe
This is the bottom line!.
Mimi nimemuelewa Bashe!. Wapinzani igeni mazuri ya wanaCCM wazuri wakiwemo wabunge wa CCM!, and Bashe is one of them!. I can see the spirit of Deo Filikunjombe born again through Bashe!.

Paskali.
Kwa kweli itabidi waungane na Bashe na waache malalamiko yasiokuwa na tija. Kila njia inayoweza kujaribiwa kama itatoa haki ijaribiwe bila kuingiza siasa za kisanii. Lema na wenzako leave cheap politics.
 
kwa awamu hii ni ngumu sana kwa unayoyasema, ccm na chadema ni kama moshi na pua......

awamu ya nne walikuwa wanaenda ikulu kuonana na mzee JK , Wanapata chai pamoja huku wakiwa wanayajenga...

[HASHTAG]#vipi[/HASHTAG] lakini ametubu ? 26-04 loading
 
Watanzania ni wepesi wa kusahau!

Pia usisahau bandiko lako hapa JF lililokuwa limejaa matumaini kuhusu uchaguzi wa Kinondoni na kilichokuja kutokea.

Hoja ya Bashe ni nzuri na inawzeka ana nia njema tu ila tambueni CCM ni ile ile(wataikwamisha tu).

Pasco,kama watanzania wengine, huwa tunajawa na matumaini tunasahau CCM huwa haina nia njema kwenye mambo mema.

Wakati mnapeana matumaini,wenzenu saa hizi wanapanga mbinu za kuikwamisha au kuivuruga hoja hiyo.

Muda utaongea.
 
Wanabodi,
Sii mara moja wala mbili nimewahi kusema tatizo kubwa la siasa za Tanzania ni ignorance and to some extent stupidity!. CCM na wana CCM wanaongoza kwa supremacy politics kwa superiority complexity kuwa wao ndio wenye haki miliki ya kuitawala Tanzania, na wapinzani wakifanya offensive politics with inferiority complex kuwa wanaonewa na kukosoa kila kinachofanywa na CCM hata kiwe kizuri vipi!. Huu ni ujinga na wengine ni stupidity!.

CCM haina haki miliki ya kuitawala Tanzania milele, bali imepewa tuu dhamama na Watanzania katika uchaguzi 'huru na wa haki', lakini CCM sio malaika, kuna mazuri mengi imefanya, yanapaswa kuungwa mkono, lakini pia kuna mabaya imefanya inapaswa kulaumiwa, kuonywa au kuadhibiwa.

Upinzani japo ni jukumu lake kukosoa, lakini sii kupinga kila kitu, linapokuja suala la national interests, CCM na Wapinzani wanapaswa kuweka tofauti zao pembeni na kuwa kitu kimoja, hivyo kwenye mazuri ya CCM kwa maslahi ya taifa, Wapinzani msione aibu kuiunga mkono CCM na kuipongeza, na CCM nayo pia inapokopy hoja nzuri au sera mzuri za wapinzani na kuzitekeleza, isione aibu kuwapongeza wapinzani kama hoja ya katiba mpya, elimu bure etc.

Kama nilivyosema tatizo kubwa la siasa zetu ni ujinga, ignorance, nikimaanisha Tanzania tuna wajinga wengi tena wengine sio wajinga tuu ni vichaa!. Hivyo ndani ya CCM, kuna wajinga wengi na kuna vichaa wengi na ndani ya upinzani pia kuna wajinga wengi na vichaa wengi.

Lakini pamoja na wajinga hawa na vichaa hawa, miongoni mwao, tuna watu wazuri, wazalendo wa kweli wa taifa hili ambao kwao ni Tanzania kwanza, vyama baadae. Wazalendo wa aina hii wapo CCM, pia wapo upinzani. Miongoni mwa wazalendo hawa ni Marehemu Deo Filikunjombe, hivyo sasa kupitia Hussein Bashe, naona kama the spirit of Deo Filikunjombe still lives on.

Nimeguswa kupandisha uzi huu baada ya kuguswa na maneno haya ya Hussein Bashe
This is the bottom line!.
Mimi nimemuelewa Bashe!. Wapinzani igeni mazuri ya wanaCCM wazuri wakiwemo wabunge wa CCM!, and Bashe is one of them!. I can see the spirit of Deo Filikunjombe born again through Bashe!.

Paskali.
Mkuu unadhani inasaidia?
 
..hivi haiwezekani hoja hiyo ikawasilishwa na wabunge wa ccm na upinzani kwa pamoja?

..nadhani hilo likifanyika wabunge wataijadili hoja hiyo bila kushinikizwa na ushabiki wa vyama vyao?
 
Mimi ni Shabiki mkubwa tu wa Chama cha Mapinduzi ( CCM ) ila naomba tu nitoe ushauri wangu kwa Mbunge Bashe kuwa kama akipata muda na Wafadhili basi haraka sana aanzishe Chuo Kikuu cha Unafiki nchini Tanzania na Yeye awe ndiyo Chancellor wake. Ana Siasa za Panya za Kuuma na Kupuliza na cha Kushangaza katika baadhi ya ' Hoja ' zake kuna ambazo hata Yeye mwenyewe amewahi kuhusika nazo katika ' Utekelezwaji ' wake halafu leo tena wale wale ambao ile ' Kauli ' ya Bashe ilichangia ' Kuwaumiza ' ndiyo hao hao wanajifanya kumuunga mkono.

CCM ni muda muafaka sasa huyu Hussein Bashe alimwe ' Red Card ' na aruhusiwe kuhamia huko ambako anakupenda.
 
Wafadhili atapata tu,wapo wakina Zitto
 
Wafadhili atapata tu,wapo wakina Zitto

Arguments zake nyingi ni za kupaka tu mafuta lakini psychologically anaonekana kabisa kuwa hana raha ndani ya CCM tena hii ya sasa na Mwenyekiti wetu na Rais wa JMT Dr. Magufuli, hivyo I think it is high time Bashe akaachana na CCM kisha arukie upande wa pili anaouamini na ambao kwa muda sasa anaonekana kama kuwa Msemaji wao Kivuli. CCM msimcheleweshe huyu Mtu ' ajadiliwe ' upesi na afutiwe upesi kama si haraka Uanachama wake kwani anatuchosha sasa.
 
Pascal Mayalla hii ndio CCM na hawa ndio wana-CCM!!

Endelea kuwa na matumaini na hawa watu.
 
Wanabodi,
Sii mara moja wala mbili nimewahi kusema tatizo kubwa la siasa za Tanzania ni ignorance and to some extent stupidity!. CCM na wana CCM wanaongoza kwa supremacy politics kwa superiority complexity kuwa wao ndio wenye haki miliki ya kuitawala Tanzania, na wapinzani wakifanya offensive politics with inferiority complex kuwa wanaonewa na kukosoa kila kinachofanywa na CCM hata kiwe kizuri vipi!. Huu ni ujinga na wengine ni stupidity!.

CCM haina haki miliki ya kuitawala Tanzania milele, bali imepewa tuu dhamama na Watanzania katika uchaguzi 'huru na wa haki', lakini CCM sio malaika, kuna mazuri mengi imefanya, yanapaswa kuungwa mkono, lakini pia kuna mabaya imefanya inapaswa kulaumiwa, kuonywa au kuadhibiwa.

Upinzani japo ni jukumu lake kukosoa, lakini sii kupinga kila kitu, linapokuja suala la national interests, CCM na Wapinzani wanapaswa kuweka tofauti zao pembeni na kuwa kitu kimoja, hivyo kwenye mazuri ya CCM kwa maslahi ya taifa, Wapinzani msione aibu kuiunga mkono CCM na kuipongeza, na CCM nayo pia inapokopy hoja nzuri au sera mzuri za wapinzani na kuzitekeleza, isione aibu kuwapongeza wapinzani kama hoja ya katiba mpya, elimu bure etc.

Kama nilivyosema tatizo kubwa la siasa zetu ni ujinga, ignorance, nikimaanisha Tanzania tuna wajinga wengi tena wengine sio wajinga tuu ni vichaa!. Hivyo ndani ya CCM, kuna wajinga wengi na kuna vichaa wengi na ndani ya upinzani pia kuna wajinga wengi na vichaa wengi.

Lakini pamoja na wajinga hawa na vichaa hawa, miongoni mwao, tuna watu wazuri, wazalendo wa kweli wa taifa hili ambao kwao ni Tanzania kwanza, vyama baadae. Wazalendo wa aina hii wapo CCM, pia wapo upinzani. Miongoni mwa wazalendo hawa ni Marehemu Deo Filikunjombe, hivyo sasa kupitia Hussein Bashe, naona kama the spirit of Deo Filikunjombe still lives on.

Nimeguswa kupandisha uzi huu baada ya kuguswa na maneno haya ya Hussein Bashe
This is the bottom line!.
Mimi nimemuelewa Bashe!. Wapinzani igeni mazuri ya wanaCCM wazuri wakiwemo wabunge wa CCM!, and Bashe is one of them!. I can see the spirit of Deo Filikunjombe born again through Bashe!.

Paskali.

Yaani baada ya maovu yote waliyofanyiwa wapinzani wewe unataka wawaunge mkono. Ingekuwa wanacheza fair play sawa, lakini mtu anakuchezea foul halafu anakwambia eti mkae meza moja mjadili maendeleo, hicho ni kichekesho.
 
Pascal Mayalla hii ndio CCM na hawa ndio wana-CCM!!

Endelea kuwa na matumaini na hawa watu.

Jadili au Jibu hoja yangu na siyo kumuita Pascal Mayalla na kuanza Kuinanga CCM kwani hata Mimi naweza vile vile ' Kuinanga ' CHADEMA yako na nadhani unanijua vyema tu kwamba GENTAMYCINE ni Jeshi la Mtu mmoja na nikianza ' Kuwachambeni ' wana CHADEMA mtakimbia sasa hivi humu kama ambavyo niliwahenyesheni wakati wa Kampeni za Urais mwaka 2015. Kazi Kwako!
 
Wanabodi,
Sii mara moja wala mbili nimewahi kusema tatizo kubwa la siasa za Tanzania ni ignorance and to some extent stupidity!. CCM na wana CCM wanaongoza kwa supremacy politics kwa superiority complexity kuwa wao ndio wenye haki miliki ya kuitawala Tanzania, na wapinzani wakifanya offensive politics with inferiority complex kuwa wanaonewa na kukosoa kila kinachofanywa na CCM hata kiwe kizuri vipi!. Huu ni ujinga na wengine ni stupidity!.

CCM haina haki miliki ya kuitawala Tanzania milele, bali imepewa tuu dhamama na Watanzania katika uchaguzi 'huru na wa haki', lakini CCM sio malaika, kuna mazuri mengi imefanya, yanapaswa kuungwa mkono, lakini pia kuna mabaya imefanya inapaswa kulaumiwa, kuonywa au kuadhibiwa.

Upinzani japo ni jukumu lake kukosoa, lakini sii kupinga kila kitu, linapokuja suala la national interests, CCM na Wapinzani wanapaswa kuweka tofauti zao pembeni na kuwa kitu kimoja, hivyo kwenye mazuri ya CCM kwa maslahi ya taifa, Wapinzani msione aibu kuiunga mkono CCM na kuipongeza, na CCM nayo pia inapokopy hoja nzuri au sera mzuri za wapinzani na kuzitekeleza, isione aibu kuwapongeza wapinzani kama hoja ya katiba mpya, elimu bure etc.

Kama nilivyosema tatizo kubwa la siasa zetu ni ujinga, ignorance, nikimaanisha Tanzania tuna wajinga wengi tena wengine sio wajinga tuu ni vichaa!. Hivyo ndani ya CCM, kuna wajinga wengi na kuna vichaa wengi na ndani ya upinzani pia kuna wajinga wengi na vichaa wengi.

Lakini pamoja na wajinga hawa na vichaa hawa, miongoni mwao, tuna watu wazuri, wazalendo wa kweli wa taifa hili ambao kwao ni Tanzania kwanza, vyama baadae. Wazalendo wa aina hii wapo CCM, pia wapo upinzani. Miongoni mwa wazalendo hawa ni Marehemu Deo Filikunjombe, hivyo sasa kupitia Hussein Bashe, naona kama the spirit of Deo Filikunjombe still lives on.

Nimeguswa kupandisha uzi huu baada ya kuguswa na maneno haya ya Hussein Bashe
This is the bottom line!.
Mimi nimemuelewa Bashe!. Wapinzani igeni mazuri ya wanaCCM wazuri wakiwemo wabunge wa CCM!, and Bashe is one of them!. I can see the spirit of Deo Filikunjombe born again through Bashe!.

Paskali.
Paskali, ndiyo maana wewe huwa sometimes tunakuita controversial journalist cum politician
 
Back
Top Bottom