Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,013
- 144,371
Kwa yanayoendelea hapa nchini ni wazi wapinzani mnapaswa kuuwa mmeitisha kikao cha dharura kutathimi hali hii na kuweka mikakati ya pamoja juu ya namna ya kukabiliana na hali hii.
Leo hii ni viongozi na wabunge wa CHADEMA ndio tunaonaa wamegeuka wahanga ila mjue kesho ni zamu ya wabunge na viongozi wa vyama vingine vya upinzani unless mtaamua kuwa upande wao.
Katika kikao hicho mnapaswa pia kuweka mikakati ya namna mtakavyotumia vikao vya Bunge vinavyotarajiwa kuanza mwezi huu mwishoni kuwasilisha hoja zenu na namna gani mtakavyozitetea hoja hizo ndani ya Bunge.
Ni wazi pia mnapaswa kuwa na kikao cha kwanza kujadili wazo la kuwa na chama kimoja cha siasa ifikapo 2020.
Anzeni majadiliano sasa na muweke Taifa mbele kuliko vyma vyenu na madaraka mliyonayo katika vyama hivyo.
Mkiungana na kuwa na chama kimoja hata CUF ya bwana yule kama itaendelea kuwepo basi itabaki CUF jina tu na haitoweza kushindana na chama kipya na sana sana watagawana kura na mabwana zao na wala si chama kipya kitakachokuwa kimeundwa.
Igeni mifano ya wapinzani katika mataifa mengine kama kweli mnataka kufanikiwa.
Tatizo ni sheri ya uchaguzi na msitarajie wataibadili kuwapa ahueni hivyo ni jukumu lenu kupambana na ku-overcome hizi obstacles.