Uchaguzi 2020 Wapinzani mnatambua kabisa Rais Magufuli ni mtendaji, mchapa kazi na mtekelezaji mzuri. Bado hamuoni aibu kuchukua fomu za urais!

Yule anayepita bila kupingwa lakini ni mchapakazi na mtu anayetekeleza bora asipingwe. Ni kupoteza muda na pesa kupambana na kiongozi kama huyu. Msiwakariri wazungu.
Ukitaka hivyo, basi fanya 'lobbying' ili Katiba na sheria zetu zibadilishwe na ziseme viongozi watakuwa wale wanaopita bila kupingwa/bila kupigiwa kura. Lakini kwa mfumo tulio nao nchini kwa upande wangu unatoa hiyo fursa ya kugombea na kwangu mimi bado naona ndio mfumo bora zaidi wa kumpata mshindi. Ni kama kwenye mahakama zetu kuna kanuni inasema 'siyo tu kwamba haki itendeke' (mfano mtu akikamatwa na nguo za wizi apelekwe moja kwa moja mahakani kusomewa hukumu na kisha kwenda gerezani bila ya utetezi wowote kwa upande wake), 'bali ionekane ikitendeka' (mfano, mtu anayekamatwa na nguo za wizi apelekwe mahakamani, apewe fursa ya kujitetea na kisha kutokana na ushahidi utakaopatikana mahakamani ndipo apewe adhabu kama atapatikana na hatia). Tunaweza kusema pia hata 'uchaguzi wetu siyo tu ufanyike na uwe huru na wa haki, bali pia uonekane ni huru na wa haki' na ili uonekane ni huru na wa haki njia mojawapo ni wagombea kushindanishwa kwa sera na sifa za uongozi na yule atakayepigiwa kura nyingi zaidi ndiye anayechaguliwa kuwa kiongozi.
 
Kuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama Magufuli?

Chama Cha Mapinduzi kina misingi imara na thabiti ambayo kimekuwa kikiisimamia tokea kuanzishwa kwake. Na moja ya misingi ni usawa na haki kwa wote. Kwa ujumla kwa CCM binadamu wote ni sawa.

Mwaka 2015 alipopewa ridhaa ya kuwa mgombea wa CCM ni dhahiri kuwa CCM ilimpa kazi ya kutekeleza mambo muhimu kwa watanzania.
JPM ametekeleza mambo makubwa kwa muda mfupi na hii ni kwa sababu anaongoza kwa kufuata misingi ya CCM.

Aliahidi atajenga SGR kipande cha kwanza Dar to Moro kitakamilika hivi karibuni. Aliahidi kujenga JNHPP na ametekeleza na mradi huu ukikamilika utakuwa na manufaa kwa watanzania wote. Aliaahidi kuimarisha sekta ya afya na elimu na yote watanzania wameshuhudia nini kimefanyika.

Kwa ujumla Tanzania ina rais mchapa kazi ambae akiahidi kitu kwa manufaa ya watanzania lazima atekeleze.

Sasa vyama vya upinzani kama Chadema ambavyo hata kuongoza majimbo na kata ni tatizo inakuwaje wanathubutu kuchukua fomu na kutaka kuweka mgombea wa kupambana na rais kama Magufuli?

Chama kama Chadema ambacho hakiwezi kusimamia ruzuku ya ya mil 360, kitaweza vipi kuwa na rais ambae atawatekelezea maendekeo watanzania?
Ukitambua Wewe kwasababu una uhakika wa kula si lazima watambue hill hasa wanapoona Maisha yao afadhali ya Jana
 
Kwanini sasa usimshauri aweke tume huru kama kweli nimchapa kazi na anapendwa na watu tuangalie kipimo chake hapo kwanza
 
rais kweli anapiga kazi ila shida shida aache kusumbua watu hasa wapinzan na afanye wanahabari wawe huru kuandika ni haki yao. yaan ajifunze kwa kikwete utulivu na subra. angekua bonge moja la rais. yaan mchezo angemaliza hapo..ila mimi hvyo tu hata akijenga nyumba kwa kila mtanzania ntamuona mnafiki..watu hawataki nyumba wanataka usawa
 
Habari za kuiga wazungu ndio maana mlisema mtaunga mkono ushoga. Sio kila kitu muige wazungu.
Kwani mfumo wetu wa utawala tumeiga kwa nani? Nguo unazovaa nyumba,style za maisha nk zote tumeiga,acha ukasuku wa kukaririshwa bila mzungu huna lolote unalojua zaidi ya uchawi na kufyatua watoto tu.
 
Kuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama Magufuli?

Chama Cha Mapinduzi kina misingi imara na thabiti ambayo kimekuwa kikiisimamia tokea kuanzishwa kwake. Na moja ya misingi ni usawa na haki kwa wote. Kwa ujumla kwa CCM binadamu wote ni sawa.

Mwaka 2015 alipopewa ridhaa ya kuwa mgombea wa CCM ni dhahiri kuwa CCM ilimpa kazi ya kutekeleza mambo muhimu kwa watanzania.
JPM ametekeleza mambo makubwa kwa muda mfupi na hii ni kwa sababu anaongoza kwa kufuata misingi ya CCM.

Aliahidi atajenga SGR kipande cha kwanza Dar to Moro kitakamilika hivi karibuni. Aliahidi kujenga JNHPP na ametekeleza na mradi huu ukikamilika utakuwa na manufaa kwa watanzania wote. Aliaahidi kuimarisha sekta ya afya na elimu na yote watanzania wameshuhudia nini kimefanyika.

Kwa ujumla Tanzania ina rais mchapa kazi ambae akiahidi kitu kwa manufaa ya watanzania lazima atekeleze.

Sasa vyama vya upinzani kama Chadema ambavyo hata kuongoza majimbo na kata ni tatizo inakuwaje wanathubutu kuchukua fomu na kutaka kuweka mgombea wa kupambana na rais kama Magufuli?

Chama kama Chadema ambacho hakiwezi kusimamia ruzuku ya ya mil 360, kitaweza vipi kuwa na rais ambae atawatekelezea maendekeo watanzania?
Sisi wengine tunamuona kama rais mbovu kuliko watangulizi wake wote, tuna uhuru kikatiba kumuona hivyo. Hatuko tayari kujiunga na wachumia tumbo kama wale wa mfalme juha
 
Tofautisha kujipendekeza na kulitakia mema taifa lako. Siku ukinunua umeme unit sh100 ndio utajua umuhimu wa kuwa mzalendo.

Hata kwenye umeme wa gas tuliambiwa bei itashuka. Unapata wapi uhakika wa umeme kushuka bei kwa mradi wa mkopo.
 
Kujieleza kwa namna gani ambapo wapinzani hawajapewa? Mbona viongozi wenu tunawaona wakihojiwa Bbc au Aljazeera na kusema watu 40000 wanakufa kwa Covid -19.
Usipaniki mkuu, kiongozi wa taifa ni rais. Sasa havari za viongozi wenu inatoka wapi? Pokea mtazamo tofauti
 
Mchapa kazi anayeamini kwamba miaka mitano iliyopita kafanya mengi MEMA kwa Watanzania KAMWE hawezi KUIOGOPA TUME HURU na chama chake KAMWE hakiwezi kuikimbia TUME HURU watakuwa wa kwanza KUIKUMBATIA kwa sababu wanajua wametenda mema Nchini ajira kede kede 6,039, 299 Viwanda 8,477 na sasa tumefikia uchumi wa kati. Pesa nje nje mtaani Watanzania wana furaha kubwa sana ya yote yanayoendelea nchini kwanini wasimpigie kura yule ambaye KAYAWEZESHA yote hayo?

2451704_EcRD_1vXQAAFZJs.jpg

Kuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama Magufuli?

Chama Cha Mapinduzi kina misingi imara na thabiti ambayo kimekuwa kikiisimamia tokea kuanzishwa kwake. Na moja ya misingi ni usawa na haki kwa wote. Kwa ujumla kwa CCM binadamu wote ni sawa.

Mwaka 2015 alipopewa ridhaa ya kuwa mgombea wa CCM ni dhahiri kuwa CCM ilimpa kazi ya kutekeleza mambo muhimu kwa watanzania.
JPM ametekeleza mambo makubwa kwa muda mfupi na hii ni kwa sababu anaongoza kwa kufuata misingi ya CCM.

Aliahidi atajenga SGR kipande cha kwanza Dar to Moro kitakamilika hivi karibuni. Aliahidi kujenga JNHPP na ametekeleza na mradi huu ukikamilika utakuwa na manufaa kwa watanzania wote. Aliaahidi kuimarisha sekta ya afya na elimu na yote watanzania wameshuhudia nini kimefanyika.

Kwa ujumla Tanzania ina rais mchapa kazi ambae akiahidi kitu kwa manufaa ya watanzania lazima atekeleze.

Sasa vyama vya upinzani kama Chadema ambavyo hata kuongoza majimbo na kata ni tatizo inakuwaje wanathubutu kuchukua fomu na kutaka kuweka mgombea wa kupambana na rais kama Magufuli?

Chama kama Chadema ambacho hakiwezi kusimamia ruzuku ya ya mil 360, kitaweza vipi kuwa na rais ambae atawatekelezea maendekeo watanzania?
 
CCM mnashindwa kuelewa kuwa propaganda ndio zinazofanywa ccm na hakuna chochote cha ajabu. In fact awamu zilizopita zilifanya makubwa kuliko hii ila propaganda na unyanyasaji wa kidikteta ndio unaenezwa kuonesha umma kunwa kuna maajabu. Hakuna kitu yanafichwa mambo mengi mno mtakuja kuyajua mwishoni.
Miradi yote ni endelevu aliyoiacha kikwete hawana jipya
 
Mchapa kazi anayeamini kwamba miaka mitano iliyopita kafanya mengi MEMA kwa Watanzania KAMWE hawezi KUIOGOPA TUME HURU na chama chake KAMWE hakiwezi kuikimbia TUME HURU watakuwa wa kwanza KUIKUMBATIA kwa sababu wanajua wametenda mema Nchini ajira kede kede 6,039, 299 Viwanda 8,477 na sasa tumefikia uchumi wa kati. Pesa nje nje mtaani Watanzania wana furaha kubwa sana ya yote yanayoendelea nchini kwanini wasimpigie kura yule ambaye KAYAWEZESHA yote hayo?

2451704_EcRD_1vXQAAFZJs.jpg
Hiki ndicho huishangaza Dunia yote, inakuaje CCM wanajinadi kuleta maendeleo lakini Hakuna demokrasia? Chaguzi zote ni uchakachuaji hakuna chaguzi wanashinda pasipo kuiba kura
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Habari ya kupigwa risasi Tundu Lissu inaingia vipi? Maana Dk Mollel alishatoa majibu kuwa Chadema mnahusika. Sasa analeta habari gani?
Dr mollel ni afisa wa FBi au ni wakala wa CCM? Kama ni wakala wa CCM unategemea nini zaidi ya propaganda?
 
Fbi wanahusika vipi na jinai za Tanzania? Au ndio kukosa akili? Na Dk Mollel afanye propaganda kwa ishu kama hii?
 
Maendeleo yapi? Nchi ina zaidi ya miaka 50 haina maendeleo licha ya kuwa rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, huto tunaendelea kidogo ni pesa za walipa kodi ambao ni wananchi wengi ambao siyo wapenzi wa CCM, kampuni zao binafsi wenyewe ndizo zimepewa Tenda humo kwenye miradi mikubwa pesa inazunguka inawarudia w. enyewe, wewe ni mnufaika wa mfumo huu wa kukandamiza demokrasia huku ukila 10% kwenye ununuzi wa Ndege, chato Airport, na miradi yote mikubwa.
Fikiri kwa kutumia akili sio minyoo. Tanzania ya mwaka 1961 ndio ya leo kimendeleo ?
 
Back
Top Bottom