troiker
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 1,551
- 2,574
Nchi yetu ni ya mfumo wa vyama vingi kisheria, hivyo vyama hivi vipo kisheria, na vyama hivi wakati wa chaguzi hushindanisha sera kwa wananchi,na wananchi husikiliza sera zinazonadiwa kisha kukipa ridhaa chama ambacho sera zake zimewavutia wananchi , hicho chama kikishinda huunda Serikali.
Nikiangalia aina ya wapinzani nchi hii, wapo ambao ukiwaangalia ni makini Sana , hawana papara na wana maono na fikra ambazo serikali huzibeba na kuzifanyia kazi, mfano, Zitto Kabwe, Maalim Seif, Mbatia , Lipumba ,lakini sio Tundu Lissu huyu hafai hata kidogo,kama alweza kumdhihaki hata Baba wa taifa ambaye ni marehemu asie weza jitetea ,je akikamata madaraka ya mwisho kabisa atafanya nini?.
Mpaka sasa sijaona mgombea mwenye sifa za kukabiliana na Magufuli katika kulinda,raslimali, heshima na wadhifa wa taifa hili