Wapinzani mbona mmekuwa kimya? Tupatieni taswira ya kisiasa kwa sasa ikoje?

Kuna mwaka niliwahi kukutana na mzee mmoja alikuwa akisoma gazeti la Mwanahalisi,kipindi lipo hot kuibua ufisadi na madudu ya awamu ya nne.

Mimi kama mtu mdadisi nilimuuliza swali moja,mzee samahani, sikujui lakini samahani hawa jamaa wa Mwanahalisi wanapata wapi hizi tips na kulipua haya madudu. Madudu ambayo ni ukweli mtupu! Yule mzee alinijibu jibu moja tu kuwa hawa Mwanahalisi wanatoa picha ya jinsi nchi ilivyo.

Wapinzani mbona mpo kimya au bado mnatafakari jinsi uchaguzi ulivyowatupa kombo?

Tupeni picha ya nchi,kuna ufisadi? Je kuna ubadhirifu?

Jamani kukosa wabunge isiwe sababu ya kukaa kimya. Kama kuna uozo mtuambie.
CCM wana polisi.
Wananchi tuna wazungu.... soon watakuja kum Mugabe mtu hapa!
 
Kuna mwaka niliwahi kukutana na mzee mmoja alikuwa akisoma gazeti la Mwanahalisi, kipindi lipo hot kuibua ufisadi na madudu ya awamu ya nne.

Mimi kama mtu mdadisi nilimuuliza swali moja, mzee samahani, sikujui lakini samahani hawa jamaa wa Mwanahalisi wanapata wapi hizi tips na kulipua haya madudu. Madudu ambayo ni ukweli mtupu! Yule mzee alinijibu jibu moja tu kuwa hawa Mwanahalisi wanatoa picha ya jinsi nchi ilivyo.

Wapinzani mbona mpo kimya au bado mnatafakari jinsi Uchaguzi ulivyowatupa kombo?

Tupeni picha ya nchi,kuna ufisadi? Je kuna ubadhirifu?

Jamani kukosa wabunge isiwe sababu ya kukaa kimya. Kama kuna uozo mtuambie.
Twendeni barabarani, tuanzie za Ubelgiji.
 
Pamoja na "MATAGA" wa marekani kuandamana wakitaka bwana "TRUMP" asalie madarakani pamoja na kushindwa, ila hujasikia IGP wakule akisema watapigwa kipigo cha mbwa koko, makamo wa raisi Mike Pence yani mama Samia Suluhu Wakule kasema "MATAGA" hao wanaiaibisha MAREKANI.
Ccm na vibaraka wenu mna la kujifunza.
 
Mimi naomba waendelee kukaa kimya hivyo hivyo ili kiki zisipatikane!
Pamoja na "MATAGA" wa marekani kuandamana wakitaka bwana "TRUMP" asalie madarakani pamoja na kushindwa, ila hujasikia IGP wakule akisema watapigwa kipigo cha mbwa koko, makamo wa raisi Mike Pence yani mama Samia Suluhu Wakule kasema "MATAGA" hao wanaiaibisha MAREKANI.
Ccm na vibaraka wenu mna la kujifunza.
 
Pamoja na "MATAGA" wa marekani kuandamana wakitaka bwana "TRUMP" asalie madarakani pamoja na kushindwa, ila hujasikia IGP wakule akisema watapigwa kipigo cha mbwa koko, makamo wa raisi Mike Pence yani mama Samia Suluhu Wakule kasema "MATAGA" hao wanaiaibisha MAREKANI.
Ccm na vibaraka wenu mna la kujifunza.
Mbona kuna wahuni wamepigwa risasi huko UsA?
 
Madudu yapo, vinginevyo tusingehangaika na vyombo vya habari kuvipangia nini cha kuandika/kusema. Hatukuwahi kupata majibu ya trillion 1.5 ilipoenda na umekaa kukejeli wapinzani? Nchi tuliambiwa ni tajiri kisha tunaomba kufutiwa madeni na kuongeza tusaidiwe miradi, wananchi wanaambiwa wachangie kujenga madarasa huku wanaviziwa watoke dukani bila risiti wanyongwe! Uchumi wa nchi unadidimia kila kukicha biashara zinafungwa, Madudu yapo ila pa kusemea ndo hampataki.
 
Hakika. Hakuna cha kuhoji kwa sasa, mambo yote yako vizuri kwa sasa. Huyo kauliza mbona watu wako kimya, mueleze kwamba kwa sasa hakuna cha kuhoji.
 
Elewa ninachosema,kama kuna ufisadi umefanyika na mpinzani anauibua hapo kuna kosa? Nani atambakia kesi? Uchaguzi kunajisiwa? Mbona watanzania wapo kimya? Au wewe peke yako ndio ulishuhudia?
Hakuna sababu ya kubabaika na wapinzani walikataliwa na kura feki za ccm,wamepata watu sahihi wa kuwasilisha hoja zenye mashiko,pia mkulu alishalisema mapema kwamba wapinzani walichelewesha sana maendeleo ya nchi hii na kuitafuna sana hivyo hata hoja zao kipindi hiki cha chama kimoja zitachelewesha maendeleo na kusababisha umaskini kwa Watanzania.
 
Kuna mwaka niliwahi kukutana na mzee mmoja alikuwa akisoma gazeti la Mwanahalisi, kipindi lipo hot kuibua ufisadi na madudu ya awamu ya nne.

Mimi kama mtu mdadisi nilimuuliza swali moja, mzee samahani, sikujui lakini samahani hawa jamaa wa Mwanahalisi wanapata wapi hizi tips na kulipua haya madudu. Madudu ambayo ni ukweli mtupu! Yule mzee alinijibu jibu moja tu kuwa hawa Mwanahalisi wanatoa picha ya jinsi nchi ilivyo.

Wapinzani mbona mpo kimya au bado mnatafakari jinsi Uchaguzi ulivyowatupa kombo?

Tupeni picha ya nchi,kuna ufisadi? Je kuna ubadhirifu?

Jamani kukosa wabunge isiwe sababu ya kukaa kimya. Kama kuna uozo mtuambie.
Tupe tathimini yako,ili nawengine tufuate,kwani wengine bado kufanya hugo tathimini.
 
Empty set ya Lumumba katika ubora wake , ilani ya uchaguzi mlioinadi ina kazi gani tabulalasa ?
 
Kuna mwaka niliwahi kukutana na mzee mmoja alikuwa akisoma gazeti la Mwanahalisi, kipindi lipo hot kuibua ufisadi na madudu ya awamu ya nne.

Mimi kama mtu mdadisi nilimuuliza swali moja, mzee samahani, sikujui lakini samahani hawa jamaa wa Mwanahalisi wanapata wapi hizi tips na kulipua haya madudu. Madudu ambayo ni ukweli mtupu! Yule mzee alinijibu jibu moja tu kuwa hawa Mwanahalisi wanatoa picha ya jinsi nchi ilivyo.

Wapinzani mbona mpo kimya au bado mnatafakari jinsi Uchaguzi ulivyowatupa kombo?

Tupeni picha ya nchi,kuna ufisadi? Je kuna ubadhirifu?

Jamani kukosa wabunge isiwe sababu ya kukaa kimya. Kama kuna uozo mtuambie.
uchaguzi huu magufuli alishinda ? duh uwezo wako waunafiki sijapata uona .Mimi ni mwana ccm ila najua sikushinda nafurahi tumebaki madarakani ila unafiki suiwezi
 
Kuna mwaka niliwahi kukutana na mzee mmoja alikuwa akisoma gazeti la Mwanahalisi, kipindi lipo hot kuibua ufisadi na madudu ya awamu ya nne.

Mimi kama mtu mdadisi nilimuuliza swali moja, mzee samahani, sikujui lakini samahani hawa jamaa wa Mwanahalisi wanapata wapi hizi tips na kulipua haya madudu. Madudu ambayo ni ukweli mtupu! Yule mzee alinijibu jibu moja tu kuwa hawa Mwanahalisi wanatoa picha ya jinsi nchi ilivyo.

Wapinzani mbona mpo kimya au bado mnatafakari jinsi Uchaguzi ulivyowatupa kombo?

Tupeni picha ya nchi,kuna ufisadi? Je kuna ubadhirifu?

Jamani kukosa wabunge isiwe sababu ya kukaa kimya. Kama kuna uozo mtuambie.
Tuongelee nini?
1) madudu ya bandari yaliyoibuliwa na CAG na kudakwa na waziri mkuu? Uozo mkubwa baada ya miaka 5 ya JPM na hapa kazi tu?
2) uozo wa kutisha kwenye miradi ya maji nchi nzima, tunaoshuhudia kwenye tv kila uchao?
3) madudu ya wakurugenzi, ambao mkuu anasita kuwakemea. Kisa? Ukishamtuma mtu akuibie kura, ushamfundisha kuiba. Hataishia kuiba kura tu, ataendelea kuiba tuuuuu
 
Kuna mwaka niliwahi kukutana na mzee mmoja alikuwa akisoma gazeti la Mwanahalisi, kipindi lipo hot kuibua ufisadi na madudu ya awamu ya nne.

Mimi kama mtu mdadisi nilimuuliza swali moja, mzee samahani, sikujui lakini samahani hawa jamaa wa Mwanahalisi wanapata wapi hizi tips na kulipua haya madudu. Madudu ambayo ni ukweli mtupu! Yule mzee alinijibu jibu moja tu kuwa hawa Mwanahalisi wanatoa picha ya jinsi nchi ilivyo.

Wapinzani mbona mpo kimya au bado mnatafakari jinsi Uchaguzi ulivyowatupa kombo?

Tupeni picha ya nchi,kuna ufisadi? Je kuna ubadhirifu?

Jamani kukosa wabunge isiwe sababu ya kukaa kimya. Kama kuna uozo mtuambie.
Fanyeni tathmini wenyewe wangapi mmepigwa viboko na MaDC!
 
Back
Top Bottom