Wapinzani mbona mmekuwa kimya? Tupatieni taswira ya kisiasa kwa sasa ikoje?

Kwani vyama vimefutwa? Kwani kutoa tathimini juu ya hali ya siasa lazima muwe na wabunge?
 
Kwani miaka ya nyuma mlipokuwa mnaizodoa serikali kwa kufanya ufisadi na uzembe mlikuwa mmeshika usukani?
Awamu ya nne walikuwa na akili, walikubali kukosolewa na kuambiwa au kushauriwa
Awamu hii tumeenda shule lakini hatujaelimika.
Tunaongoza nchi kupitia gambushi na siyo elimu ya darasani.

Ukitaka kuthibitisha Hilo kielelezo ni covid19(nyungu) na miti shamba toka Madagascar.
 
Wapinzani walitucherewesha sana, acha tupige kazi mbere kwa mbere. Na maendereo hayana chama.
 
Kwani ndio hata kutoa maoni juu ya taswira ya kisiasa hamuwezi?
Kichokufa kinasema, ivi una akili timamu wewe!

Toeni taswira ninyi mlio hai.

Kwa maneno haya wanaccm na mashabiki wote mnaupenda Sana upinzani ila tatizo mwenyekiti wenu kawabana nyeti( zinavyouma!) Imebidi mwende anakowavutia
 
Nani ajiunge na magenge yenye kuponda kila kitu...

Ni magenge ambayo hayajui nini yanataka
Kuna mtu kakuambia ujiunge nayo au ni hisia zako tu nyie endeleeni kujenga madaraja madarasa mtajenga miaka ijayo.
 
Kuna mwaka niliwahi kukutana na mzee mmoja alikuwa akisoma gazeti la Mwanahalisi,kipindi lipo hot kuibua ufisadi na madudu ya awamu ya nne...
Dunia iko kwenye wakati mgumu sana na nchi ni sehemu ya Dunia, na inawezekana hii kuwa picture ya WWIII, tusihamaki wala kushangilia tutafute suluhisho.
 
Huna imani na TRA, mahakama na kila idara ya serikali. Kumbuka TRA kukusanya kodi ni wajibu wa kisheria.

Kama kuna maovu yanafanywa na serikali na wapinzani wakayaibua na kukosoa hakuna wa kubambikiwa kesi.

Unatakiwa ukubali ukweli kuwa wapinzani hawana cha kukosoa kwa sasa.

Eti hakuna wa kuwabambikia kesi. Kwani sababu ya kunajisi uchaguzi ilikuwa ni nini, kama lengo sio kuwaziba midomo wapinzani ili uchafu utamalaki?
 
Eti hakuna wa kuwabambikia kesi. Kwani sababu ya kunajisi uchaguzi ilikuwa ni nini, kama lengo sio kuwaziba midomo wapinzani ili uchafu utamalaki?
Elewa ninachosema,kama kuna ufisadi umefanyika na mpinzani anauibua hapo kuna kosa? Nani atambakia kesi? Uchaguzi kunajisiwa? Mbona watanzania wapo kimya? Au wewe peke yako ndio ulishuhudia?
 
Back
Top Bottom