Wapinzani Kugaragazwa - Polepole

Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
16,681
8,233
1593981538222.png

1593981598352.png

1593981745480.png

1593981809142.png

Signed and sealed
 
Naona mapichapicha tu!!

Hawa jamaa safari hawauziki kabisa!!

Eti tumeingia uchumi wa kati kabla ya wakati

Hawa jamaa sijui wanadhani bado tuko katika ile dunia ya kusikiliza RTD tu huku tv ikiwepo Ikulu tu!!!
 
Kwenye maendeleo yoyote kuna stages, sasa mambo yanayotokea Tanzania sio kwamba hayaonekani, hizo ndio nyenzo zilizopo hivi sasa kuangalia uchumi wa nchi yoyote ile unakua. Kuna nchi ambazo uchumi wao unadorora zaidi ya nyingine hivyo mbinu ndio zinatofautiana. TZ tunapiga hatua hasa katika kurahisisha uchukuzi wa bidhaa pamoja na usafiri wa uhakika mara unapohitajika pamoja na sera za kuboresha mashule na mahospitali.

Miradi mingi ya kimkakati tunafadhili wenyewe mfano SGR.

Inabidi wachunguzwe vizuri, lazima wamtoa rushwa ili world bank watangaze huo upuuzi
 
Julai 2020
Tunduma, Tanzania

MWAKAJOKA Atikisa Tunduma
"Mkutano wa kuwashukuru Wananchi "CHADEMA Tutashinda Uchaguzi Majimbo Yote 2020 .

Mfano Chipaka tenki la maji na matenki mengine yatasambaza huduma ya maji safi kwa wote.

Elimu mji wa Tunduma imezidi kuboreshwa

Mbunge wenu mimi Mwakajoka nimetambuliwa ktk hansard ya bunge kama mchangiaji bora aliyeshika namba 7 ktk bunge la Muungano wa Tanzania kuwatetea wakulima, wafugaji, wavuvi na watumishi wa umma siyo Tunduma tu bali pia kuwatetea waTanzania wote. Kiasi Spika Job Ndugai akawa anaomba nipunguze mbinyo kuibana serikali lakini mimi kama Mwakajika nilikuwa sielewi wala kuchoka kulibana bunge la Ndugai na serikali ya CCM Mpya.

Michezo ni afya na ajira mfano Mwakajoka Cup imesaidia kutoa burudani na kutoa vijana 3 waliochaguliwa kwenda under 17 timu ya taifa ya Tanzania ya soka.

Mfuko wa jimbo 95 milioni kila kata imenufaika kufuatana na mahitaji ya kila sehemu.

Vituo vya Afya pia vimeboreshwa kutoa huduma kwa Mama na Mtoto pia vijana na kina baba.
Source : JAY TV

Polepole aapisha wanaCCM Tunduma

Inabidi wachunguzwe vizuri, lazima wamtoa rushwa ili world bank watangaze huo upuuzi
Wewe unafikiri rushwa tu, Tanzania kumenoga wewe kalaga baho. Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atakayeinyima CCM kura.
 
Upumbavu wa Uongozi wa JF kufikiri kwamba hii thread ni ya picha. JF mnashuka viwango mlitakiwa kuwa zaidi ya vyombo vingine vya habari lakini kwa sababu ya kununuliwa na sacos ya DJ Mbowe mmekuwa useless forum mnapenda kusikiliza makuwadi wenu tu.

I bet this is the end of JF.
 
Wewe unafikiri rushwa tu, Tanzania kumenoga wewe kalaga baho. Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atakayeinyima CCM kura.
Kama mnajiamini hivyo, ruhusuni tume huru muone jinsi watanzania walivyo wachoka,nakuambia mbele ya tume huru hamfikishi hata 45%, watanzania wa Leo sio wajinga. Hujui hata indication za uchumi, ukiwa kwenye boom stage.
 
Kwenye maendeleo yoyote kuna stages, sasa mambo yanayotokea Tanzania sio kwamba hayaonekani, hizo ndio nyenzo zilizopo hivi sasa kuangalia uchumi wa nchi yoyote ile unakua. Kuna nchi ambazo uchumi wao unadorora zaidi ya nyingine hivyo mbinu ndio zinatofautiana. TZ tunapiga hatua hasa katika kurahisisha uchukuzi wa bidhaa pamoja na usafiri wa uhakika mara unapohitajika pamoja na sera za kuboresha mashule na mahospitali.

Miradi mingi ya kimkakati tunafadhili wenyewe mfano SGR.

Tunadadhili wenyewe inakuaje deni la Taifa limeongezeka mara dufu
 
Tunadadhili wenyewe inakuaje deni la Taifa limeongezeka mara dufu
Tunapotaka kwenda kwenye uchumi wa juu ni lazima deni liongezeke, nchi zote zinakopa lakini deni letu halijaongezeka mara dufu kama unavyodai. Wacha uonge weka takwimu?
 
Back
Top Bottom