Tumbiliwaulaya
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 280
- 435
Mimi nawauliza kwa nini mnatudhalilisha hivi? nchi inaonekana watu wote hamnazo,kwani yeye ni wa kwanza kuugua mbona huwa tunaugua ni kitu cha kawaida,
Nyerere uliugua taifa lilifahamishwa, tuliimba pambio na maombi ya kutosha tulipeleka kwa Mungu ila Mungu akampenda zaida,
Mkapa hali kadharika,Kikwete nae pia, kwa nini sasa? mnahangaika kuficha jambo la kawaida! hamuoni tunavyo sanifiwa, kwa kuwa hatuwezi hata kuhoji baba yetu yuko wapi?.