Wapinzani hakuna atakayewaruhusu mgawe vyakula kwa wananchi; mnajisumbua bure tu!

Mwenye mamlaka ya kutangaza njaa nchini ni rais wa jamhuri ya muungano ya Tanzania;

Hakuna nchi yeyote Duniani chama cha siasa kinaweza kujiamulia kugawa chakula kwa wananchi pasipo serikali husika kupitia kitengo maalumu cha kushughulikia maafa kufanya hivo;

VYAMA VYA UPINZANI havina kitengo cha maafa chenye wataalam wakufanya kazi hiyo, Leo hii kila chama kigawe chakula hiyo itakua nchiii au Danguro? Ikitokea wakagawa chakula chenye sumu nani atalaumiwa? Wanauwezo gani kitaalam kufanya hivo?

Haiwezekani

“CHADEMA wagawe chakula serikali iwatazame tu….!

ACT WAZARENDO wagawe chakula Serikali iwatazame tu…!

CUF wagawe chakula serikali iwachekee tu….!

UDP wagawe chakula serikali iwatazame tu…..!

TLP wagawe chakula serikali iwatazame tu….!

NCCR wagawe chakula serikali iwatazame tu…..Hiiiih BHAGOSHAA.. labda isiwe serikali hii ya awamu ya Tano.

Leo LOWASSA kupitia kanisa la KKT kaahidi kugawa chakula, Kama LOWASSA na Chadema yake wana nia ya dhati; wapeleke hivyo vyakula ofisi ya waziri mkuu kitengo cha maafa; Serikali wakati ukifika itaamua ikigawe vipi;

KAMA KUNA VYAMA VITARUHUSIWA KUGAWA CHAKULA HOVYO HOVYO LABDA SIYO NCHI HII
Hahaaah nyie c mshatangaza kuwa hakuna njaa...sasa hata wapinzani wakigawa chakula nani atakayeenda kuchukua wakati hakuna mtu mwenye njaa
 
wewe una matatizo ya akili...Inamaa ukitaka kumpa babako msaada unawapanga foleni kijiji kizima? FIKIRIA HATA KIDOGO...leo hii vyama vya upinzane waingie mtaani na magunia wagawe hiyo itatafsiliwa vipi? uhalali wa hicho chakula upoje? acha mihemko kutatua macha ya jamii yana taratibu zake. Huo usalama wa wanachi umeufikilia?
acha ujinga kama CCM imeshindwa kufanya kazi, acha ijulikane hivyo, kwanini wajitwalie status wasizo weza kuzimudu, ccm ni domant kimawazo,kiutendaji na hata kiakili,wacha watu wenye huruma waokoe maisha ya watu.. wewe ujibu swali tuu dogo, zile pesa zilizo pitia ccm, za wahanga wamepeleka wapi? unataka na mahindi yapitie uko, wakauze???????
 
USILINGANISHE CHAKULA CHA KUFUTULISHA NA HIKI WANACHOTAKA KUGAWA HAO NDOROOOBO!!! Mtoa post yuko sawasawa kabisa kiusalama haifai hata kujaribu
Jamani swala la njaa halina chama wala umaarufu
Tuombe Mungu hili janga lipite mbali.
Somalia wakisoma hizi posts zetu watafunga na kutuombea ili tufunguke macho ta kichwani
 
Siasa za kitoto hizi! Hawa wapinzani wanauchungu saaana na wananchi eeh kuliko serikali ya Magufuli! What a joke! Wanatafuta spotlight tu hao sio kweli kuwa wanauchungu na watz kihivyo! Kwa sasa mkuu wa kaya ameshasema sasa fanyeni vinginevyo!
 
Mwenye mamlaka ya kutangaza njaa nchini ni rais wa jamhuri ya muungano ya Tanzania;

Hakuna nchi yeyote Duniani chama cha siasa kinaweza kujiamulia kugawa chakula kwa wananchi pasipo serikali husika kupitia kitengo maalumu cha kushughulikia maafa kufanya hivo;

VYAMA VYA UPINZANI havina kitengo cha maafa chenye wataalam wakufanya kazi hiyo, Leo hii kila chama kigawe chakula hiyo itakua nchiii au Danguro? Ikitokea wakagawa chakula chenye sumu nani atalaumiwa? Wanauwezo gani kitaalam kufanya hivo?

Haiwezekani

“CHADEMA wagawe chakula serikali iwatazame tu….!

ACT WAZALENDO wagawe chakula Serikali iwatazame tu…!

CUF wagawe chakula serikali iwachekee tu….!

UDP wagawe chakula serikali iwatazame tu…..!

TLP wagawe chakula serikali iwatazame tu….!

NCCR wagawe chakula serikali iwatazame tu…..Hiiiih BHAGOSHAA.. labda isiwe serikali hii ya awamu ya Tano.

Leo LOWASSA kupitia kanisa la KKT kaahidi kugawa chakula, Kama LOWASSA na Chadema yake wana nia ya dhati; wapeleke hivyo vyakula ofisi ya waziri mkuu kitengo cha maafa; Serikali wakati ukifika itaamua ikigawe vipi;

KAMA KUNA VYAMA VITARUHUSIWA KUGAWA CHAKULA HOVYO HOVYO LABDA SIYO NCHI HII
Mleta Uzi, hapa umenena.
Kimsingi vyama tawaliwa vinakila sababu ya kusoma sharia za nchi na taratibu zake plus matamko ya mkuu wa kaya na "tone" yake kabla hawajathubutu kuleta chakula. pia vyema wawaone na psychologists waweze kuwaeleza kile wanachokiona kupitia matamko ya mkuu wa kaya.

Sounds ridiculous but scientific true.

Mkuu wa kaya anao uwezo wa ku-twist maaamuzi vile anavyopenda ama vile anavyoona ni sahii na kupelekea maumivu kwa vyama tawaliwa.

Mkuu wa kaya ndiye msemaji wa mwisho na mlinzi halali kisheria wa ustawi wa watu wake.

WapinZani waache kutegemea mobu saikoloji na huruma za viongozi wa dini ambao mwisho wa siku watawageuka na kukaa upande wa baba mwenye nyumba. Wasisahahu mkuu wa kaya alishawahi kusema siasa zianze mwaka 2020. Na ndiye anaesema hakuna njaa. Nuff said..
 
wewe una matatizo ya akili...Inamaa ukitaka kumpa babako msaada unawapanga foleni kijiji kizima? FIKIRIA HATA KIDOGO...leo hii vyama vya upinzane waingie mtaani na magunia wagawe hiyo itatafsiliwa vipi? uhalali wa hicho chakula upoje? acha mihemko kutatua macha ya jamii yana taratibu zake. Huo usalama wa wanachi umeufikilia?

Kwani TFDA kazi yao nini?
Wanaweza wakapima na mgao ukaendelea, mbona hawapimi vyakula vilivyopo?
 
Mkuu mapovu yanakutoka kwa wingi kiasi ambacho inambidi mtweengee na wewe akiwa na mwamvuli.

Umeandika mambo ambayo huna utaalam nayo. Umetekwa na fikra za kisiasa pasipo kujua mipaka ya kila taasisi nchini.

Kabla hujaandika na kutoa mapovu mengi, jifunze mambo mengi ya msingi, litakuwa ni jambo lenye msaada maishani mwako.
Ndugu yangu wewe unadhani mimi nina akili fupi na za kujipendekeza kama wewe?? Natumia utashi wangu kufikiri nadhani wewe ni shabiki wa kienyeji sana, na inaonekana hujui nini chama cha siasa nadhani unafikiiri chama cha siasa ni kitu ambacho unaweza kukishika na kukiweka mfukoni, elimu yako ndogo sana mkuu tena zaid ya sana ndio maana umekuwa mtetezi wa mambo ya kijinga ,soma taarifa iliyo tolewa kama imesema itatoa misaada kwa mfumo gani ??unakurupuka bila kufikiri .tumia akili mkuu sio ushabiki wa kijinga lazima ujue kutofautisha siasa na maswala ya kijamii lakin sidhani kama kwa akili yako hiyo ulio nayo waweza tofautisha .
 
Mkuu, limetolewa agizo na waziri mkuu, kwamba si ruhusa kwa mtu yoyote kuzungumzia hali ya njaa na ukame nchini. Sasa kama wewe unajiamini kweli, jitokeze na upingane na agizo hilo hadharani. Sio unapiga kelele za kipumbavu ambazo hazimsaidii mtu yoyote yule hata mkeo/mumeo.
Jenga hoja bila ya kujifanya unayajua sana matusi, wengine tumeanza kuyatumia hayo matusi kabla hata Baba na Mama yako hawajaanza kutongozana.
 
Ukiwa mpumbavu utatukanwa tu na ni haki yako kutukanwa maana kinyume na hapo hatutakuwa tunakutendea haki, huwezi kufunikwa na ujinga na wewe ukawa mjinga pia maana yake wewe pia unatatizo ,huwezi kuzuia kuongelea jambo ambalo linagusa maisha ya mtu mmoja mmoja maana maumivu yanatofautiana na kila mtu ana namna yake ya kuumia na maumivu hayafanani , waziri mkuu yuko kwake ana uhakika wa kula na kunywa kutokana na kodi ya hao hao watanzania wanao lala njaa halafu hamtaki waongelee njaa yao, jitafakari kama una aina zote kuu za ubongo mkuu acha ushabiki wa kijinga.
 
wao hesabu zao si kugawa chakula.....hivi huwa hamuelewi watu wa hicho chama,lengo ni kutaka wananchi/wapiga kura wasikie kwamba kuna watu wanawatetea.....vipi hapo umeelewa?
 
Mwenye mamlaka ya kutangaza njaa nchini ni rais wa jamhuri ya muungano ya Tanzania;

Hakuna nchi yeyote Duniani chama cha siasa kinaweza kujiamulia kugawa chakula kwa wananchi pasipo serikali husika kupitia kitengo maalumu cha kushughulikia maafa kufanya hivo;

VYAMA VYA UPINZANI havina kitengo cha maafa chenye wataalam wakufanya kazi hiyo, Leo hii kila chama kigawe chakula hiyo itakua nchiii au Danguro? Ikitokea wakagawa chakula chenye sumu nani atalaumiwa? Wanauwezo gani kitaalam kufanya hivo?

Haiwezekani

“CHADEMA wagawe chakula serikali iwatazame tu….!

ACT WAZALENDO wagawe chakula Serikali iwatazame tu…!

CUF wagawe chakula serikali iwachekee tu….!

UDP wagawe chakula serikali iwatazame tu…..!

TLP wagawe chakula serikali iwatazame tu….!

NCCR wagawe chakula serikali iwatazame tu…..Hiiiih BHAGOSHAA.. labda isiwe serikali hii ya awamu ya Tano.

Leo LOWASSA kupitia kanisa la KKT kaahidi kugawa chakula, Kama LOWASSA na Chadema yake wana nia ya dhati; wapeleke hivyo vyakula ofisi ya waziri mkuu kitengo cha maafa; Serikali wakati ukifika itaamua ikigawe vipi;

KAMA KUNA VYAMA VITARUHUSIWA KUGAWA CHAKULA HOVYO HOVYO LABDA SIYO NCHI HII

Zuieni kwani mnakomoa upinzani au mnakomoa wananchi wote waliokumbwa na uhaba wa chakula? Kwa vile sikio la kufa halisikii dawa basi endeleeni tu kujimaliza mpaka 2020 mtabakia mifupa mitupu.
 
Ukiwa mpumbavu utatukanwa tu na ni haki yako kutukanwa maana kinyume na hapo hatutakuwa tunakutendea haki, huwezi kufunikwa na ujinga na wewe ukawa mjinga pia maana yake wewe pia unatatizo ,huwezi kuzuia kuongelea jambo ambalo linagusa maisha ya mtu mmoja mmoja maana maumivu yanatofautiana na kila mtu ana namna yake ya kuumia na maumivu hayafanani , waziri mkuu yuko kwake ana uhakika wa kula na kunywa kutokana na kodi ya hao hao watanzania wanao lala njaa halafu hamtaki waongelee njaa yao, jitafakari kama una aina zote kuu za ubongo mkuu acha ushabiki wa kijinga.
Mkuu, mpumbavu ni wewe, pengine na familia yako yote. Waziri mkuu anazo taarifa za ndani kuliko wewe na rafiki zako wote kwa ujumla wenu.
Ukiwa umekaa sehemu na ndugu zako hapa TZ haina maana mnakifahamu kila kinachoendelea nchini. Huo ndio upumbavu wenyewe, kujivika ufahamu wa kitu ambacho hamna mamlaka wala madaraka nacho.
Watoto wa siku hizi taabu tupu, mkikuwa tayari mnaamini kuwa mnaelewa kila kitu, hata kama kipo juu ya uwezo wenu.
Wewe ndio ujitafakari, sio kupinga kila unachokisikia kutoka kwa watu unaopenda kuwasikiliza.
 
Back
Top Bottom