Wapinzani Congo wazidi kumkomalia kabila aondoke madarakati ifika december hata kama uchaguzi utachelewa kufanyika

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
WAKATI ODINGA KAMA MPINZANI MKUU NCHINI KENYE AKIJIONDOA HUKU AKILETA SITOFAHAMU KWA HATMA YA UCHAGUZI MKUU.

HUKO NCHINI KONGO WAPINZANI WAMEZIDI KUMKOMALIA RAISI KABILA IFIKAPO DECEMBER MWAKA HUU AONDOKE MADARAKANI HATA KAMA UCHAGUZI UTACHELEWA NI BORA IWEPO SERIKALI YA MPITO BILA UWEPO WA RAISI KABILA MADARAKANI

SOURCE BBC SWAHILI
 
Aache Demokrasia ifuate mkondo...!!

Ndio athari/madhara ya kukulia Bongo hayo...!
 
Naona baada ya waarabu wa Africa kubadili muelekeo pepo zinavuma kwa mbali huku kwa wabantu.
Ikitokea tu sehemu moja wamefanikiwa ni ushauri wangu wengine waanze kutoka kwa amani kabla morali ya kwamba hata sisi tunaweza haijaanza. Salamu zao viongozi wote waliopo madarakani kimagumashi
 
na wewe mwenyewe unaiteteaga ccm na wenyewe kuna siku watawania kukaa madarakan anzia tz usirukie kwenda kongo
 
Ataondoka madarakani iwapo tu mataifa ya magharibi watamchoka kumtumia ila hivi tu bado safari ndefu sana waafrika kujitawala viongozi wanakuwa ni vibaraka wa wazungu huku wananchi wanataabika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom