Wapinzani bungeni 2010: Kazi ya kwanza! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapinzani bungeni 2010: Kazi ya kwanza!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Field Marshall ES, Nov 7, 2010.

 1. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2010
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  Wasalam wangu wote JF,

  - Wapinzani sasa wana sauti nzito sana bungeni, ninashauri kwamba kazi yao ya kwanza iwe kukomalia kuikarabati NEC kikatiba, na pili wasimame kwa sauti moja kukomalia Spika wanayemtaka, wakiweza kukubaliana na wabunge wote wa CUF toka Visiwani, ninaamini watayaweza haya mawili bila tatizo.

  - Mungu Awabarikie, uchaguzi umeisha sasa kazi ya wananchi, na Mungu Aibariki Tanzania!


  FMEs!
   
 2. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2010
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,971
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sijui kama kukubaliana na CUF ni jambo linalowezekana maana CUF walishafunga ndoa na CCM. Unless iwe ndoa ya tarakarejea!
   
 3. B

  Bluebird Member

  #3
  Nov 7, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  You are right FM. Hizo mbili ndiyo kazi kubwa. Baada ya hizo mbili ndio wanaweza kuendeleza vile vita against mafisadi ambavyo vilipoozwa na CCM last session.
   
 4. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2010
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  ni kweli
  tunawatakia kila la kheri kwani kwa uwingi wao lazima waonyeshe kwa vitendo uwezo wa chama chao katika uongozi ili miaka ijayo wawe na mambo kadhaa ya kuwaeleza wananchi ambayo wameweza kutatua au kusaidia kutatua
   
 5. S

  Selemani JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2010
  Joined: Aug 26, 2006
  Messages: 871
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  FMES kaka, lini tutajenga sheria zitakazokuza uchumi? Bunge liloisha limepoteza muda wote kupiga kelele ufisadi lakini umaskini uko pale pale. Na bunge hili likikomalia katiba mpaka 2015, sasa tutaendelea kweli?

  I hope they can mult-task. Otherwise tutapiga politiki mpaka lini?
   
 6. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Kama hatutaiandika katiba upya ,CCM watakuwa wanatuibia ushindi kila leo mpaka hapo Masia atakaporudi!! THE CALL SHOULD BE TO CHANGE THE CONSTITUTION first and foremost!! Civil society can agitate this by mobilizing the people to demand to have a people's constitution.
   
 7. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Je huoni kama kuna TATIZO kubwa baina ya NCCR na CHADEMA kuliko ulivyotaja? Je umeshasahau punde tu kwamba mzee wa Nji hii alikuwa akilia na chama kipi? tatizo ni CHADEMA wenyewe Kutokukubaliana na VYAMA vingine toka awali. Na sitoona ajabu safari hii kukosekana kiongozi wa upinzani bungeni!:cool:
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kwani Chadema haiwezi kuunda kambi ya upinzania ukizingatia tutakuwa na zaidi ya wabunge 40
   
 9. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #9
  Nov 7, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Tatizo kubwa kwa Tanganyika ni hili hapa chini. Utaisema sana Chadema ila haihitaji kuwa na miwani:

  [​IMG]
   
 10. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #10
  Nov 7, 2010
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kwanza nasema jambo bwana FMES na asante kwa kuibua hoja hii.Nami nakuunga mkono kwamba hili la katiba na NEC kukarabatiwa liwe la kwanza kabisa Bungeni maana lina madhara makubwa .
  Kukaa na kuilaumu Chadema kwamba inakataa umoja hakika unakuwa mgeni katika siasa hizi za Tanzania. Chadema walikuwa wa kwanza kukubali waliyo kubaliana mwaka ule na kuacha nafasi za majimbo na kata wazi kwa CUF na wengine .Lakini ilipofika mahali kwamba Chadema wana uwezo na eneo CUF na wengine walikataa ku drop out ndipo Chadema wakaamua kwenda kivyao .

  Zitto aje aseme alishiriki mno kuunganisha hizo nguvu alifanya kazi usiku na mchana nina ushahidi wa kutosha hadi wakafika mahali wakakubaliana .Ninashangaa kila mara watu wanaibuka na kuanza kulaumu Chedema na muungano wa vyama .Leo hii unawezaje kulaumu Chadema na kuungana na CUF baada ya matamshi ya kijinga ya Lipumba pale Movenpick kwenye TV show na ndoa yao ya Zanzibar ?It is time wapinzani wa kweli wasimame wenyewe na hata Mrema must be left out maana ni nyoka asiyefaa kukaa naye karibu .
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Nov 7, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Thansk Selemani... nadhani tatizo lipo kwenye the whole leadership mindset... agenda ya ufisadi ni kama brand kwa sasa na kosa kubwa ni CCM wenyewe kushindwa kuleta counter-punch, and the main reason ni kwamba CCM focused on politics more that the country's priorities

  Najua unanielewa... if the president advisor is focusing on politics, these things are bound to happen, we lost depth kwenye economic, social and development agenda, if you ask me, i would say sijui 25 years from now CCM wamefocus kwenye nini

  Ni wakati muafaka wa vyama vyote vya siasa kubadili mwennendo mzima wa kuendesha siasa

  Hata kampeni trail, ingependeza zaidi wataalam wa sera wa vyama wangelumbana kwenye nyanja mbalimbali na si watanzania kusikiliza story za wagombea urais
   
 12. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #12
  Dec 7, 2012
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Tumekujua W. J. Malecela. Mnafiki na mchumia tumbo.

  Vipi USA wamekufukuza kwa sababu ya criminal background?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #13
  Dec 7, 2012
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Now I am starting to connect the dots.
   
Loading...