Wapinzani anzeni kuhubiri Maendeleo siasa 2020

Wewe lazima utakuwa dovision bashite. Ulisha ona wapi maendeleo yanahubiriwa? Wewe utakuwa ni zoba. Siwezi sime upo viroba sababu vimezuiwa.
 
Maendeleo yanatafutwa kwa kuhubiri, kufatilia na kusmamia. Ukisubiri kuyaona..... utakufa ukisubiri kuyaona.... na utalalamika kila baada ya miaka mitano.
Changamkieni fursa...
 
Yap lazima mubadilike badala ya kupoteza muda wa kupiga kelele ni bora muhubiri maendeleo tutawaelewa amen
Maendeleo yanaletwa na pesa na pesa hizo huwa tunawapatia ccm kwa njia ya kulipa kodi, ccm inashindwa sasa kuleta hayo maendeleo huku ikiwa imebeba pesa zetu mikononi. Na huo ni ufisadi.

Wanatuzuga na vibombadier huku wakijisifu kukusanya kodi nyingi.

Wanatuzuga eti elimu bure huku madawati, mlinzi, maabara, madarasa nk tukifanya wenyewe. Kwani kama ni madaftali si hata wakati wa JK kulikuwepo na pesa za Capitation? Sasa kwa sasa ubure ni upi au wanatuona mazuzu?

Maendeleo yatakujaje wakati pesa za maendeleo hazipelekwi Halmashauri za wilaya na miji?

Maji safi na salama kwa umbali usio zidi mita mia moja (uwanja wa mpira) ulioanza na ilani ya ccm 2010-2015 na kuendelezwa hadi sasa yako wapi

Ni mengi tunadanganywa nikiyaandika nitajaza vitabu.

My take: Wapinzani wahubiri ccm kutudanganya tukaipa kodi zetu na maendeleo yanawashinda.
 
hawa wengine n porojo t
Kumbe maendeleo ni kutoa pesa yako mfukoni! Sio Watanzania kulipa kodi na kodi zikatengeneza maendeleo? Na kuwa kama hazitoshi sisi wananchi tukaweka na michango iwe ya pesa au nguvu zetu? Mbona serikali inasema ina kusanya kodi ya kutosha?
 
Mkuu hongera kwa kuwapa ushauri wa bure japo kwa ninavyoyafaham haya magaidi hayataufanyia kazi. Utaishia kutukanwa
 
Back
Top Bottom