Wapigakura wavikataa vyama vya siasa na mgombea binafsi je?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,468
911,181
JK kapata 26.2 ya wapigakura wote na wagombea wa upinzani kwa Uraisi wamepata 15% na ukizijumlisha zote vyama vya siasa vinakubalika kwa 41%. Hii inamaanisha kuna wapigakura 59% ambao hawakubalianI na mfumo wa siasa uliopo na hivyo moja ya kazi ya hili bunge jipya ni uturudishie mgombea binafsi.....

WAPIGAKURA NDIVYO WANATAKA ILI WAENDE KUPIGA KURA.....NA ASIYESIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU...................
 
Back
Top Bottom