Wapigakura wa jimbo la Lindi Mjini wamnunia Abdul Aziz mbele ya JK............ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapigakura wa jimbo la Lindi Mjini wamnunia Abdul Aziz mbele ya JK............

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rutashubanyuma, Oct 21, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,787
  Trophy Points: 280
  Kulingana na gazeti la Majira, Mheshimiwa Mohamed Abdulk Aziz yupo hoi na wapigakura walimnunia pale ambapo JK alimtambulisha kwa wapigakura hapo Lindi Mjini.

  Kwa maoni yangu, yaelekea yule albino wa CUF ndiye chaguo la wapigakura wa Lindi Mjini na ndiyo maana Mheshimiwa Mohamed Abdul Aziz alikuwa anamnyanyapaa kwa kumtumia Kampeni Meneja wake ambaye hadi leo yupo ofisini.
   
 2. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  mh hivi suala la mgombea wa CUF albino aliyekashifiwa limeishaje?hajamshtaki?kwakweli wananchi wa lindi wawe mahakimu kwa huyu mgombea wa CCM kumkashifu mwenzake kwa ngozi yake sio jambo zuri hapo siasa naiweka pembeni utu kwanza.KURA KWA CUUUUUFFFFF LINDI
   
 3. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Are you Great thinker?
  Tafakari..............
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Tumia lugha nzuri tafadhari isije semekana na jf kuna udhalilishaji wa walemavu,by the way thanks na itakuwa vyema sana akishinda huyo mama
   
 5. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2010
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  CUF Oyeeeeeeeeeeee
   
Loading...