Wapigadebe Stendi ya Msamvu wana ushawishi kuliko wa stendi zote nchini

Mkuu ukiwa na 1m-1.5 unapata eneo kubwa sanaa tu.
Wapi huko mkuu
Hivi kule forest au chini ya lile limlima kubwa sana pale mjini naweza kupata 40*50 angalau kwa kiasi gani. Hapo ndipo napataka tangu siku ya kwanza napita moro.
Nilijaribu siku moja dalali akanipeleka 10*20 mlimani juu kinyama uswahilini, nikatoka nduki
 
Forest kwa moto sana mkuu maana kule ndio makao ya mkoa sijawahi hata uliza bei za kule. Kwa sasa naweza kukushauri utafute Lukobe, Mkundi, Kiegea na Bigwa.
 
Lukobe na Mkundi bei zimechangamka mkuu, advantage ya Kiegea sio unauziwa unamegewa lieneo.
Lukobe qni
Forest kwa moto sana mkuu maana kule ndio makao ya mkoa sijawahi hata uliza bei za kule. Kwa sasa naweza kukushauri utafute Lukobe, Mkundi, Kiegea na Bigwa.
Poa pouwa, ngoja tusake mapesa, ila hapo pa moto ntatoboa tu maana ni dream yangu kuweka maskani chini ya hilo limlima kubwa kwa gharama ypyote ile na sina haraka.

Kule lukobe mbona kama kukavu sana, ukijichimba kisima unapata maji?
 
Back
Top Bottom