Wapiga kura wa CCM Zanzibar 181,837 kuwakosesha Watanzania millioni 49 ruzuku ya MCC

Misaada ya nini!! Ndio maana huwa mnaoelewa.....Misaada wapeleke huko kwa wenzentu wenye kuhitaji..sisi hapa KAZI TU!

LEO NADEAL NA MALOFA, WEWE putin v... UKO KATIKA LIST YA MH MKAPA KAMA MALOFA PIA MMAPUMBA YANAYOONGEA YASILO LIFAHAMU,
 
Faiza hao jamaa ni zaidi ya hiyo misaada. baada ya hapo watakuja na vikwazo vingi sana mara vya kiuchumi, mara Tanzania sio nchi salama kiutalii na mambo mengine kibao. hao jamaa kwa propaganda za kuchafua hawafai.
achaneni na hao jamaa kabisa. wanaojua bila shaka wanawaelewa vizuri nchi za magharibi zilivyo.

Binafsi nnaomba wakatae kutupa ili tusiendelee kuwa ombaomba.
 
Tajiri na fedha zake maskini na mwanae!We dont have to yield to any of their demands, at least if we want to be independent. Suala za Zanzibar watalimaliza waznz wenyewe na sio kufunika kombe kwa mashinikizo ili upate trilioni moja!!

Wazanzibar walishalimaliza october 25, ila kuna makafiri wamebaka haki ya watu.
 
Watoe jwtz(occupation force)Zanzibar kwanza, hapo tutayamaliza wenyewe amicably Mungu na Mtume.

JWTZ hawajajipeleka ZAnzibar .JWTZ wako kule kikatiba.Katiba zote hii ya sasa na ya warioba zinawatambua.Kama ukitaka waondoke waondoe kwanza kwenye katiba.Kwa sasa they are there to stay.
 
mwenyekiti wenu alipokomaa na misaada hukuona ni ujinga??

Wacha uongo.

Alipochukua nchi Kikwete bajeti yetu ilikuwa inafadhiliwa kwa asilimia karibia 50 kama si zaidi, alipoachia madaraka (bajeti ya mwaka huu) chini ya asilimia 20, na nnauhakika hatutochukuwa hata asilimia 10 mpaka mwisho wa mwaka wa fedha.

Ni Rais yupi wa kabla yake aliyeyaweza hayo?
 
TANZANIA HATUHITAJI FEDHA KUTOKA NJE! MISAADA NDIO CHANZO CHA ZIADA YA PESA ZA ANASA.....TUTABANANA NA HIZI ZA NDANI MPAKA KIELEWEKE!!! WAENDE ZAOOoo.....GESI NA MADINI HAZITATOKA!

gesi na madini sahau na unatakiwa kuongelea baada ya miaka mia ndio mikataba ya kina chifu mangungu itaisha
 
Waca uongo.

Alipochukua nchi Kikwete bajeti yetu ilikuwa inafadhiliwa kwa asilimia karibia 50 kama si aidi, alipoachia madaraka (bejeti ya mwaka huu) chini ya asilimia 20, na nnauhakika hatutochukuwa hata asilimia 10 mpaka mwisho wa mwaka wa fedha.

Ni Rais yupi wa kabla yake aliyeyaweza hayo?

nimekutafuta sana we bibi. tangu jpm aingie huna hamu kabisa, na ikulu ilipigwa upako kufuta matunguri yote. kwa vyovyote utakavyo, sheikh jakaya alipenda sana misaada, ndiyo ilikuwa imani yake.

"....huko nje wana hela nyingi, ni jinsi ya kujieleza tu"-JK
"....mwambieni naitumia ndege ya rais kwenda kuomba misaada"-JK
 
Umesahau kuwa mlisema jina lake limetolewa mfukoni na Kikwete?

Kulikoni? Baniani mbaya kiatu chake dawa?
 
Wacha uongo.

Alipochukua nchi Kikwete bajeti yetu ilikuwa inafadhiliwa kwa asilimia karibia 50 kama si zaidi, alipoachia madaraka (bajeti ya mwaka huu) chini ya asilimia 20, na nnauhakika hatutochukuwa hata asilimia 10 mpaka mwisho wa mwaka wa fedha.

Ni Rais yupi wa kabla yake aliyeyaweza hayo?
Safari 410 zilikuwa za nini? Mbona waziri mmoja aliwahi kusema safari za mzee ni kutafuta misaada!
 
Safari 410 zilikuwa za nini? Mbona waziri mmoja aliwahi kusema safari za mzee ni kutafuta misaada!

Safari zilikuwa na manufaa makubwa sana kwa nchi.

Leo una gas ma trillion ya cubic feet kutokana na hizo safari.

Leo una jengo zima la toba ya meno na kinywa yenye kiwango cha kimataifa kutokana na hizo safari.

Leo una jengo zima la tiba ya moyo yenye kiwango cha kimataifa kutokana na hizo safari.

Leo una vyuo vikuu zaidi ya 55 kutokana na hizo safari.

Leo una chuo kikuu kikubwa Afrika Mashariki na ya kati kutokana na hizo safari.

Leo una uhusiano mzuri wa kidiplomasia na karibia nchi zote duniani kutokana na hizo safari.

Leo unaweza kutamba na kifua mbele kuwa ni Mtanzania kutokana na hizo safari.

Usisahau kuwa hata uwepo wa Magufuli Magogoni ulianza na safari.
 
nisingelitumia. pamoja na porojo zako zote, sheikh aliongoza nchi mdobwedo.

Mtabaki kubwabwaja na kuhororoja bila mpango lakini mnaelewa kuwa hakuna Rais yeyote wa kabla yake anaemfikia hata robo ya aliyoyafanya Kikwete kwa Tanzania. Ni kiongozi adim na adhim.

Jee, mmesahau kuwa Kikwete ndiye alitoa jina la Rais "mfukoni"?

Pia jikumbushe kuisoma ilani ya uchaguzi ya CCM ambayo Magufuli anaisimamia kwa niaba ya Mwenyekiti wake.
 
Turudi kwenye hoja,kwann ccm haitakikuachia madaraka zanzibar?
 
Mtabaki kubwabwaja na kuhororoja bila mpango lakini mnaelewa kuwa hakuna Rais yeyote wa kabla yake anaemfikia hata robo ya aliyoyafanya Kikwete kwa Tanzania. Ni kiongozi adim na adhim.

Jee, mmesahau kuwa Kikwete ndiye alitoa jina la Rais "mfukoni"?

Pia jikumbushe kuisoma ilani ya uchaguzi ya CCM ambayo Magufuli anaisimamia kwa niaba ya Mwenyekiti wake.

teh! sheikh alipigwa kikumbo. wajanja wa hii nchi kama mzee ben ndo wanafanya mambo. halafu magufuli bwana, bila ajizi ile siku ya hotuba akarusha jiwe gizani, "...kuna mtu ameenda nje ya nchi mara nyingi kuliko kwa mamake". basi sheikh akawa anatabasamu kwa aibu tu, huku mzee ben na wengine wenye hekima wakisikitika!
 
Back
Top Bottom