Wapiga kura wa C.C.M ni akina nani hasa?

kalou

JF-Expert Member
Aug 22, 2009
4,975
3,824
mpaka leo najiuliza hivi wapiga kura wa C.C.M ni akina nani hasa,kwa mfano kwa sasa kuna uchaguzi mdogo wa Igunga na kuna watanzania wana Igunga wataipigia kura C.C.M na mgombea wake!!

swali linabaki pale pale hawa wana igunga watakao ipigia kura C.C.M watapiga kura kwa sababu wanaamini C.C.M itawaletea maendeleo au wana sababu nyingine za kuwafanya waipigie kura C.C.M !??

kama kuna sababu nyingine ni zipi hizo?
 
Mimi nafikiri ni wale wote waliopitia matatizo ya akili utotoni
 
Akina mama na wazeeee,,,,,fuatilia sana taarifa za habar za vituo vya luninga,utaona akina mama weeeng na wazee ndio wanaoonekana kwenye kampen za ccm,,,,,vijana weeng wapo chadema na cuf
mpaka leo najiuliza hivi wapiga kura wa C.C.M ni akina nani hasa,kwa mfano kwa sasa kuna uchaguzi mdogo wa Igunga na kuna watanzania wana Igunga wataipigia kura C.C.M na mgombea wake!!

swali linabaki pale pale hawa wana igunga watakao ipigia kura C.C.M watapiga kura kwa sababu wanaamini C.C.M itawaletea maendeleo au wana sababu nyingine za kuwafanya waipigie kura C.C.M !??

kama kuna sababu nyingine ni zipi hizo?
 
ni mtazamo tu.. kumbuka toka miaka ya 1995, watanzania wengi hasa mikoa hiyo ya magharibi walishaharibiwa bongo zao kwa kuonyeshwa mikanda video ya mauaji ya kimbari, Rwanda. wakatishwa kwamba endapo watarogwa kuchagua upinzani tha same shall happen to them. kuing` oa fikra hiyo potofu kuna gharama zake.
 
Mashati, kofia, kanga n.k (vyote hivyo vya rangi ya kijani au njano) + vijisenti kidogo.
 
Tuombe Mungu uchaguzi ufanyike kwa amani maana hali ilivyo ni hatari CCM ni kama haipo tayari kushindwa na CDM nao wanataka kuuthibitishia umma kuwa CCM imepotwa na wakati ijiandae kukabidhi dola tu
 
Hakuna cha kura halali, ni vitisho na uchakachuaji. Nani asiyejua?
 
Ni wale woote ambao ni wanyonge...

Ni wale woote walio na uwezo wa kifedha nyuma ya Mlango

Ni wale woote vibaraka wa wakati
 
Akina mama na wazeeee,,,,,fuatilia sana taarifa za habar za vituo vya luninga,utaona akina mama weeeng na wazee ndio wanaoonekana kwenye kampen za ccm,,,,,vijana weeng wapo chadema na cuf
Unanidai shs 100 fedha halali ya kitanzania,umeongea ukweli hawa wanawake na wazee wanadiandikisha na siku ya kupiga kura wanaenda. Tatizo la vijana hawajiandikishi na wanaojiandikisha siku ya kura huwaoni. Kujaa kwenye mikutano hakutaleta mabadiliko,kuna uwingi wa kura hata kuiba kunashindikana kama Ubungo na Kawe ilivodhihirika,vijana acheni maneno ni muda wa vitendo.
 
kura za mazoea. Kura za huruma. Kura za vitisho. Kura za kutojua. Hizo ndo kura za ccm
 
mpaka leo najiuliza hivi wapiga kura wa C.C.M ni akina nani hasa,kwa mfano kwa sasa kuna uchaguzi mdogo wa Igunga na kuna watanzania wana Igunga wataipigia kura C.C.M na mgombea wake!!

swali linabaki pale pale hawa wana igunga watakao ipigia kura C.C.M watapiga kura kwa sababu wanaamini C.C.M itawaletea maendeleo au wana sababu nyingine za kuwafanya waipigie kura C.C.M !??

kama kuna sababu nyingine ni zipi hizo?

Kwani wabunge wa Chadema so far wameleta nini cha kujivunia majimboni kwao zaidi ya kusikika wakati wa mijadala ya bunge? Wananchi wanataka kuona kero zao zinatatuliwa na siyo kulalama bungeni pekee! In my view the difference between Chadema and CCM legislators is the same. In fact Chadema is worse off.
 
sababu zipo nyingi,chadema ni chama cha wahuni,kinataka kuua watu na kuleta fujo,ccm bado ni chama tawala na ndicho kinauwezo wa kuleta maendeleo igunga.
 
watakao ogopa kusaliti nafsi zao baada ya kupewa rushwa ya kanga, t shirt, kofia, wali na pesa za unga kibaba
 
Back
Top Bottom