kalou
JF-Expert Member
- Aug 22, 2009
- 4,974
- 3,820
mpaka leo najiuliza hivi wapiga kura wa C.C.M ni akina nani hasa,kwa mfano kwa sasa kuna uchaguzi mdogo wa Igunga na kuna watanzania wana Igunga wataipigia kura C.C.M na mgombea wake!!
swali linabaki pale pale hawa wana igunga watakao ipigia kura C.C.M watapiga kura kwa sababu wanaamini C.C.M itawaletea maendeleo au wana sababu nyingine za kuwafanya waipigie kura C.C.M !??
kama kuna sababu nyingine ni zipi hizo?