Wapiga kura halali wasiopiga kura miaka iliyopita kujitokeza mwaka huu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapiga kura halali wasiopiga kura miaka iliyopita kujitokeza mwaka huu?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Negotiator, Sep 25, 2010.

 1. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wadau nimefanya utafitri hapa ofisini. Kuna wazee na akina mama kwa ujumla ni sita wanasema hawakupanga kupiga kura mwaka huu lakini sasa wanasema lazima wapige kura kwa kua wameona kuna mgombea makini aliyeingia kwenye kinyang'anyiro hicho kupitia upinzani. Jee wenzangu huko mlipo kuna wapiga kura wa namna hii walioonyesha mwamko kama huu?

  Hii ni ishara gani kwa chama tawala?
   
 2. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  Ni ishara kuwa sasa watz wanaangalia uhalisia wa maisha yao badala ya uhalisia wa maisha yao majukwaani na kwa kupewa pilau na na pombe na ccm kila baada ya miaka mitano....wamechoka kudanganywa wameamua kusema no hawadanganyiki tena
   
Loading...