Uchaguzi 2020 Wapiga kampeni wa CCM wanapiga kelele tu badala ya kumwaga sera

muafi

JF-Expert Member
Oct 6, 2015
2,114
4,798
sioni cha maana CCM wanachozungumza zaidi ya kelele tu, sisi hatutaki kelele tunataka muongee vitu vya msingi


hamjaeleweka bado jipangeni upya
 
sioni cha maana CCM wanachozungumza zaidi ya kelele tu, sisi hatutaki kelele tunataka muongee vitu vya msingi


hamjaeleweka bado jipangeni upya
Ukiwa na upande upande usio wako unaona wanafanya vitu visivyo vya maana.
Tunaendelea kusikiliza makelele ya wanasiasa na mipasho ili Tarehe 28/10/2020 tuwape Ajira.
Hapa Tanzania Hakuna hoja wala sera ni mipasho ya wanasiasa tu kwenye kampeni.
Ukitarajia uwasikilize ndio ufanye maamuzi Utakua unaongopa maana nimipasho sio hoja.


Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom