Tetesi: Wapiga dili wa CCM wajiandaa

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
TETESI.

Makundi ya wapiga deal ndani ya ccm hawana furaha juu ya uendeshaji wa serikali unaofanywa na magufuli.

Ndio maana yeye kasema amewasikia mawaziri wakimsema sema kuhusu packee.

Wanadai anaweza kutokupewa uenyekiti wa ccm au kumpiga zengwe aondolewe asigombee urais ungwe ijayo.

Survival of the fittest akizubaa watamtumbua.
 
Back
Top Bottom