Mkonga100
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 660
- 494
WAPIGA DILI ZIDI YA SERIKALI.
Mara zote kuwaelewa wapiga Dili kunahitaji akili kubwa katika kupambanua mbivu na mbichi.
Unaweza ukashiriki harakati bila kujua unapigania nini katika harakati hizo, unaweza ukashiriki Mission bila kujua ni Mission ya nini?
Mara nyingi ni ngumu sana kutoka mikononi Mwa wapiga dili ukiwa ni sehemu ya wanufaika na ni zoa lao katika kushika Dola.
Mwanzo nilikuwa sijafahamu maana ya kauli ya Rais kuwa "hakuna mfanyabiashara aliyenichangia pesa wala kumuomba pesa za kufanyia kampeni". Sasa ile kauli ipo kwa vitendo ikijidadavua sasa na wapiga dili tukiwaona wanahaha huku na huko kuhakikisha Serikali haitawaliki.
Ninapozungumzia wapiga dili hapa hatuhusishi siasa maana wapiga dili wapo ndani ya CCM, CDM, CUF na wengine hawana vyama ila mission zao zinapitia kwenye vyama vya siasa.
Na hapa ndipo utaona mwanaccm anayetekeleza mission ya mtu fulani akipambana na Serikali kwa gharama yoyote ile ili kuhakikisha mission yao inafanikiwa na ili si ngeni wapo waliyowahi kusema nchi hii haitatawalika kipindi cha awamu ya NNE nao walitumia siasa kutuaminisha Rais Jk hawezi kutawala na nchi imemshinda.
Nirejee kauli ya Rais JPM kuwa abiria kwenye Gari la mizigo huwa wanaangalia upande wowote ila dereva angalia mbele Gari lifike na mimi naona litafika salama.
Na hii niliwahi kuandika Nov 4, 2016
"MAGUFULI NA WAPIGA DILI KATIKA AWAMU YA TANO".
Mengi yamesemwa na yameandikwa katika vyombo na majalida mbali mbali kuhusiana na Ukuaji wa Uchumi (economic growth in Tanzania). Ila kiukweli tupo kwenye kipindi cha mpito (Transtional period), kama anavyosema Mhe. Zitto kuwa "tunapotaka kujenga uchumi imara lazima tumie" mimi binafsi nakubaliana nae na Mhe. Rais amesema ana nia ya dhati kuifikisha nchi mahala pazuri ila kwa kiasi kikubwa wanaolalamika ni wapiga dili na ndio wanaowaambukiza wananchi ni hao wapiga dili.
Katika Tanzania ukuwaji wa uchumi unapimwa kwa kuangalia tofauti katika thamani za bidhaa na uzalizashi wa huduma katika nchi (In Tanzania, the annual growth rate in GDP measures the change in the value of the goods and services produced by the country economy during the period of a year).
Aya ndio mambo ya Msingi na si kuangalia pesa katika mifuko ya watu wa kawaida. Nichukue nafasi hii kumpongeza Mhe. Rais kwa kuliona hili la wapiga dili na kulichukulia hatua. Ni kweli pesa zilizokuwa zikikusanywa na Mashirika ya umma na kuwekwa kwenye account mbalimbali zilizosimamiwa na kuidhinishwa na mashirika hayo na bodi zake zilikuwa kwa manufaa ya wachache, na ndipo yakizaliwa mashirika Tanzu ndani ya mashirika ya umma, washauri waelekezi na wafanyabiashara na mashirika kutoka miongoni mwa wanasiasa au familia za viongozi wa mashirika hayo.
Tumeona kwa mwaka mmoja huu, Meli mbili ziwa Nyasa, Ndege na Reli zikishamili kuimalika huku miundombinu ya barabara na Bandari ikiboreshwa hapa utaona wahujumu wa miundombinu hii wakiwa wakati zaidi ya Rais na ndipo sasa baadhi ya wanasiasa waingie vitani kuhakikisha haya hayafanikiwi.
Niseme tuache kushikwa akili na wapiga dili kwa maslai ya biashara zao na dili zao wakizojipatia kipato zaidi ya Mshahara kama mshahara analipa na wewe mfanyakazi unalalamika pesa imepotea na unalipwa kwa wakati kwahiyo hiyo ziada ulikuwa unapata wapi?
Ila naomba nikueleze kuwa kuna baadhi ya mambo Mhe. Rais usisite kufuatilia mwenyewe kama unavyofuatilia na katika uongozi ni jambo sahihi hilo Rais kama Manager. Na sasa tunaona wahujumu wa reli, Meli na usafiri wa Anga wanakuwa wakali zaidi kama walivyowale waliozowea kuchota pesa kwenye mashirika ya Umma.
Rais ni Magufuli na acheni nchi ainyooshe...