mapanga3
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 665
- 633
Niwazi kuwa hakuna asiyejua uwepo usio na lazima wa wapiga debe kwenye stendi mbalimbali za basi nchini kote.
Watu hawa ni kero kubwa kwa abiria na wanahatarisha usalama wa mali za abiria, pia wanasababisha usumbufu mkubwa kwa abiria, binafsi sioni umuhimu wa uwepo wao kwenye mastendi.
Pia nguvu kazi kubwa inapotea bila sababu.
Ombi langu kwa waziri husika atuondolee kero hii haraka tumechoka kuibiwa na watu wasio hata magari kwa kisingizio cha uajenti kisa wapo stendi.