Wapi zinapatikana rejeta za magari mpya za jumla na rejareja?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Kichwa hapo juu chahusika .Wapi zaweza patikana rejeta mpya za magari ya kila aina za jumla na rejareja Tanzania?
 
Kwa taarifa ni kwamba Afro mech ltd ni watengenezaji wa radiator za magari hapa nchini na wamekuwa na bidhaa zenye kiwango kikubwa sana kiasi kwamba wanatengeneza radiator za magari ya landrover na wamekuwa na mkataba wa supply radiator kwa miaka mingi sana.Hawa jamaa wapo tabata dampo.Mmoja wa miliki wa kampuni hiyo ni Ndugu Ramesh patel ambaye alikuwa miongoni mwa viongozi wa club ya mpira ya Simba Sports Club.

Mwenzetu
 
Agents wao au distributors wao wanapatikana wapi?
 
Umechanga-changa buku 7 hadi kibubu kimejaa!!!!
Hakika wewe kweli lofa wa Lumumba yaani Hadi leo hujuwi wapi utapata rejeta? Hiyo ndiyo shida ya kuja mjini na gari la MWENGE..
Nenda Tabata dampo jumatatu utapata
 
Back
Top Bottom