Wapi wanauza niqab kwa jumla hapa Dar

Royal Warrior

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
1,166
2,117
Habari zenu wadau,

Naomba kuuliza, kwa wanao fahamu ni wapi wanauza niqab kwa bei ya jumla hapa Dar es salaam.

Natanguliza shukrani.
 
niqab nyingi zinatoka kwenye mtumba,
za dukani labda ujaribu maduka ya baibui kariakoo
 
Ukifika kwenye lile bango la Tigo unakunja kulia unatembea kama mita 20 unaingia kushoto unashuka hadi kwenye zile ngazi unapanda juu,kisha ukifika juu unaingia mkono wa kushoto baada ya hatua 15 unazama katikati baada ya hapo utaona duka wanauza pochi za kike unazunguka kwa nyuma pembeni utakuta kuna uchochoro unaenda nao hadi unafika kwenye duka husika

Sent using IPhone X
 
Uelekezaji wako umekaa kikomedi.
Rudia tena kuelekeza kama upo serious.
Ukifika kwenye lile bango la Tigo unakunja kulia unatembea kama mita 20 unaingia kushoto unashuka hadi kwenye zile ngazi unapanda juu,kisha ukifika juu unaingia mkono wa kushoto baada ya hatua 15 unazama katikati baada ya hapo utaona duka wanauza pochi za kike unazunguka kwa nyuma pembeni utakuta kuna uchochoro unaenda nao hadi unafika kwenye duka husika

Sent using IPhone X
 
Ahsante mkuu, ubarikiwe.

Back
Top Bottom