Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu kuna jamaa yangu anatafuta wanapotoa kozi za magari makubwa ya kusafirishia mafuta na mizigo kwa gari kubwa anataka kujifunza kuendesha hayo magari kwa anaejua au anahusika msaada unahitajika kupajua.
Yaani hapa ndo shida ilipo mkuu gar kupatikana hiki ndicho kinatafutwa pa kuanzia maana Nit unatakiwa uwe unajua wao wanakupiga kozi fupi tu sio namna ya kuweka gia na kusepaNIT.
Lakini inakuwa vizuri zaidi kama angeenda pale alishajua kuendesha, akipata kitaa mtu wa kumfundisha baada ya hapo ndipo aende huko.
Yaani hapa ndo shida ilipo mkuu gar kupatikana hiki ndicho kinatafutwa pa kuanzia maana Nit unatakiwa uwe unajua wao wanakupiga kozi fupi tu sio namna ya kuweka gia na kusepa
Tungempata huyo mkuu ingekuwa poa sana tena sana sijui itakuwaje pia kama unae mkuu hapa town au unamjua atalipwa kwa kumfundishaHapo ndiyo changamoto, labda akiweza kupata dreva wa kufanya naye kama utingo, na huyo dreva awe na route za masafa.
Hapo ni rahisi.
Tungempata huyo mkuu ingekuwa poa sana tena sana sijui itakuwaje pia kama unae mkuu hapa town au unamjua atalipwa kwa kumfundisha
Mwambie aende veta ajisajili kwaajili ya gari kubwa watamfundisha ila wanatumia scania kipisi semi trailer hawana,pili kupata mtu wakukufundisha kwenye lorry wakati wa kwenda safari sikuizi inakuwa ngumu kiasi maana matjiri wengi wananunuwa magari mapya na huwa tunawapeleka madereva kusomea kozi fiupi kabla ya kuwa kabidhi magari hayo efficient cose,shida yetu hatuna mfumo mzuri wakuandaa madereva kwa nchi yetu,kila siku huwa nawauliza NIT kwanini hawana mfumo wa kupika madereva tokea chini?
Ndio changombe. Kikubwa aweke juhudi ktk njia yake Mungu atamsaidia.Shukrani sana mkuu veta pale chang'ombe?
kamali ndo madereva gani hawaPale wanahitaji dereva kamali mkuu hawataki mtu anaeanza au kama nakosea kunisahihisha ruksa
Nikushauri tu wengi wanaanzia utandboy huko njiani na dereva wako ndo atakufunza mpaka utapokua sawa anakuachia njiani uendeshe tena sehem hatari ukiiva unaenda omba kazi ka dereva. Nawe ufundishe mwingin. Makampuni mengi hayataki dereva mgeni bora wampe tandiboy wao wanaomjua anaendesha vizur kuliko dereva mpya alietoka shule