Wapi wanatengeneza rough dreads Dar es Salaam

lady Jay

JF-Expert Member
May 29, 2016
526
646
Habari zenu wapendwa, poleni na kazi na mihangaiko.

Niko Dar, naomba mnisaide kuniambia sehemu nzuri ambako wanatengeneza rough dreads vizuri sana.

Natanguliza shukrani.
 
Kinondoni B pale kuna saloon moja ina michoro ya kijamaica wako poa nampelekaga my cousin
 
Habari zenu wapendwa, poleni na kazi na mihangaiko.

Niko Dar, naomba mnisaide kuniambia sehemu nzuri ambako wanatengeneza rough dreads vizuri sana.

Natanguliza shukrani.

saloon nyingi wanatengeza ila kama una short hair
bora ununue mafuta na ile sponge unatengeneza mwenywe na pia
unasave pesa. sponge 40,000tzs na mafuta 25,0000 na vinakaa muda mrefu
wakati ukienda saloon ni 15,000 hadi 20,000 na inabidi uwe unaenda mara kwa mara

team roughdread
 
Nenda mwenge pale karibu na kituo cha mpakani kwenye jengo la Tanzanite kuna salon inaitwa Kareem dreads au sinza kumekucha kwa Fita....
 
saloon nyingi wanatengeza ila kama una short hair
bora ununue mafuta na ile sponge unatengeneza mwenywe na pia
unasave pesa. sponge 40,000tzs na mafuta 25,0000 na vinakaa muda mrefu
wakati ukienda saloon ni 15,000 hadi 20,000 na inabidi uwe unaenda mara kwa mara

team roughdread
SORRY unawez kunitajia mafuta yaku tengenezea rough dread
 
Hivi inawezekana kutengeneza dreads nkakaa nazo miezi mmoja au zaidi baadae nikarudia kuchana Nywele zangu kama kawaida bila kunyoa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom