Wapi wanaosha gari ndani vizuri zaidi, naona Car Wash nyingi za DSM miyeyusho tu.

Hakuna mtu wa kuosha gari lako vizuri huko ndani zaidi yako mwenyewe......
Hao wengine watalipapasa tu wachukue hela yako...

Wanaume tuache ulegevu....tenga masaa hata mawili weekend ufanye baadhi ya kazi zako mwenyewe na utaona ufanisi...

Unakuta mwanaume likitambi limening'inia hata kubrush viatu vyake hawezi...kila kitu kufanyiwa..

Samahani mtoa post sikuongelei wewe...nazungumza kwa ujumla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli unalosema lakini kuna wakati gari linahitaji usafi wa full valet yaani mpaka viti vyote vinatolewa nje na kuoshwa na hiyo kwenye car wash zingine inachukua hata masaa 5 au zaidi inategemea na uchafu wa gari
Kama zipo mkuu hata laki 3 ni sawa kwa SUV

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom