Wapi wanaosha gari ndani vizuri zaidi, naona Car Wash nyingi za DSM miyeyusho tu.

CCM Music

JF-Expert Member
Dec 5, 2018
1,036
1,782
Heshima zenu wakuu.

Najua humu kuna wadau wa mikebe kwa namna moja ama nyingine yaani wenye mikebe, waazima mikebe, wapanda mikebe na kadhalika. Kiufupi tu JF tupo vizuri kila eneo.

Sasa hebu tujuzane kidogo wadau, kwa DSM wapi wanaosha gari vizuri zaidi ndani yaani hadi gari inanukia gari kama mpya vile. Car Wash nyingi naona miyeyusho tu.

Asanteni sana wadau
 
Nenda pale kinondoni kwa Lamar producer yupo vizuri , gari inaoshwa huku ww unapiga vitu vya birian na mikuku kuku
 
Heshima zenu wakuu.

Najua humu kuna wadau wa mikebe kwa namna moja ama nyingine yaani wenye mikebe, waazima mikebe, wapanda mikebe na kadhalika. Kiufupi tu JF tupo vizuri kila eneo.

Sasa hebu tujuzane kidogo wadau, kwa DSM wapi wanaosha gari vizuri zaidi ndani yaani hadi gari inanukia gari kama mpya vile. Car Wash nyingi naona miyeyusho tu.

Asanteni sana wadau
Naona mkuu unataka kuosha mkebe kabla hujarudsha kwa mwnyw

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom