Wapi wanang'arisha meno yaliyoungua?

nyangoma

Member
Jan 11, 2010
71
23
Siku hizi kumekuwa na kawaida ya kungarisha meno yaliyoungua yanakuwa meupeee ..jamani ni wapi wanatoa hizo huduma na gharama zake plzzz kwa anaejua
 
naomba msaada meno yangu hata nisugue vipi hayatakati yanakuwa ya njano njano nimetumia kila njia imeshindikana kwa anayejua dawa ya kuyafanya kung'aa anisaidie nitumie dawa gani
 
Chukua baking soda kijiko kimoja weka kwenye kikombe, kamulia limao nusu, koroga.

Tumia mchanganyiko huo kusugulia meno yako kwa kutumia mswaki.

Sukutua vizuri kwa maji ya vuguvugu.

Tumia mchanganyiko huo kusugua meno yako mara moja kwa wiki. siku zilizobaki tumia dawa za meno za kawaida.
 
Baking soda na limao kwa wiki mara mbili
Chukua baking soda kijiko kimoja weka kwenye kikombe, kamulia limao nusu, koroga.

Tumia mchanganyiko huo kusugulia meno yako kwa kutumia mswaki.

Sukutua vizuri kwa maji ya vuguvugu.

Tumia mchanganyiko huo kusugua meno yako mara moja kwa wiki. siku zilizobaki tumia dawa za meno za kawaida.
Hata wale wenye utando wa Njano unaosababishwa na maji ya Chumvi,nao wakitumia hiyo Baking soda yatang'aa?
 
Kwa yale meno ya arusha kuna procedure inaitwa polishing, pia wale wenye stain yani meno yana rangi rang kama utando pia unaitajika kufanyiwa polishing meno yatapungua ubora kidogo sana ila yatakua meupe iyo inafanyika kwa hospital kubwa kam muhimbil..ila pia hospital ya rufaa mbeya garama kwa taya ya juu sh 150, 000 na ya chini 150, 000......baking poda scntifcly is not recommended ni atar kwa fizi zako waone wataalamu wakinywa na meno kwa ushauri zaidi
 
Mchanganyiko wa baking soda na limao ni TYPICAL ACID, kinachofanyika hiyo ACID inakula sehem ya nje(chafu) ya jino,Inatakiwa tumiwa kwa uangalifu mkubwa
 
Back
Top Bottom