Mbona sijaona mahala CUF imeshinda ubunge bara kama wenzao akina CHADEMA hata nccr mageuzi.Au nimepitiwa tu.
Nilisikia Mbeya,Mtwara halafu Tanga na bUKOBA,lakini sijaona !.
Hizo data zina dalili ya ukweli.Kuhusu kujitangaza hakuna kama CUF.Tatizo lililopo chaguzi Tanzania na Afrika ni kuppotezeana muda tu.uwamuzi huchukuliwa mezani.Dafirs hapo umenena cuf wamejisahau wamekaa zenj tu bara wanasubir uchaguzi ndio wanaamka,sasa wamevuna walichopanda,ila cuf wenyewe wanadai wamelishinda lindimjini,lindivijijini,kigamböni,temeke,tangamjini,lushoto,uyui,na data wanazo zavituoni,ila wanadai ccm imechakachua matokeo,